Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Upande wa mashtaka hauna ushahidi wa kumtia hatiani Tundu Lissu katika kesi ya uhaini, au ile nyingine. Sasa wameamua kumtafutia mashtaka mengine marahisi ili angalau waweze kumfunga. Ndio maana...
3 Reactions
15 Replies
908 Views
Nimeanzisha channel WhatsApp nataka kuandika habari za matukio ya kisiasa kijamii na kiuchumi na. Kuandika historia mbali mbali hasa wale wapenzi wa siasa so naombeni mnifollow mdogo wenu...
2 Reactions
7 Replies
399 Views
Nashauri upimaji mkubwa ufanyike wa ardhi upande wa Wilaya ya Segerema na Misungwi ili kuongeza mvuto na kuleta faida za kiuchumi za daraja. Haipendezi billions 700 zilale hapo halafu pajae...
3 Reactions
9 Replies
647 Views
Mwigulu ajivunia kutimiza ndoto ya muda mrefu kusaini noti ya Tanzania "Kipekee nimshukuru Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuniamini kutumikia Taifa kwa...
9 Reactions
55 Replies
3K Views
Wakuu, Hivi hili suala limekaaje wakuu? Yaani watanzania wenye itikadi za vyama mbalimbali wako kitako kusikiliza bajeti ya Serikali lakini humo humo Waziri Mwigulu anafanya uchawa kumsifia Rais...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Mambo ya awamu ya 5 yanaletwa na Waziri kwenye Bajeti ya leo kwa malengo gani? Kama kweli lengo lake ni kujadili mauaji, kwanini isiwe Ally Kibao na Mdude Nyagali? Mwigulu amelenga kufunika...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Bado kuna shida ya kasi ya ukarabati wa Uwanja Ndege Mwanza. Utekelezaji wa muundo mbinu huu hauendani na kasi aliyoiagiza Rais. Tatizo ni nini huu uwanja?
0 Reactions
2 Replies
361 Views
Nakumbuka mbunge Esther Bulaya alitaka Bunge litoe maelekezo kuhusu mechi ya Simba na Yanga ambayo ni kiporo Je ulitolewa mwongozo gani?
0 Reactions
2 Replies
174 Views
Ngoja tuone maana inaonekana kama ACT wazalendo wataibuka na jambo lao Kunyweni mtori nyama mtazikuta October 😁
1 Reactions
7 Replies
380 Views
“Tathmini inaonesha kuwa wananchi walio wengi wanaridhishwa na utendaji wa serikali katika kutekeleza programu na miradi ya maendeleo. Kwa mfano, utafiti uliofanywa na Taasisi ya Afrobarometer...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa...
12 Reactions
171 Replies
8K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPC, David Kafulila kupitia ukurasa wake wa X ameandika "Deni la nje TZ liliongezeka kutoka usd 24bn mwezi Machi2021 mpaka usd30bn Juni2024[ yaani usd6bn) sawa na...
5 Reactions
117 Replies
4K Views
== Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia...
14 Reactions
127 Replies
5K Views
John Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake. Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha...
44 Reactions
122 Replies
6K Views
Poleni Sana Watanzania. Mpo kwenye MSIBA mkubwa. Huu ni MSIBA kuona deni la TAIFA linaongezeka huku uhalisia wa maisha ya mtanzania, miundombinu, huduma zikizidi kuwa duni. Ila VIONGOZI wa...
2 Reactions
9 Replies
543 Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni humo, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mwabusalu, Juni 13, 2025. Katika mkutano huo, wanachama na Viongozi wa...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Takribani miaka minne toka Rais mrithi wa awamu ya tano B apokee kijiti baada ya kifo cha aliyekuwa Rais na mtawala wa Tanzania John Pombe Magufuli. Kipindi cha miaka minne ya mwisho ya Awamu ya...
1 Reactions
5 Replies
471 Views
Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kasri la Mfalme wa Sweden (wa pili kushoto na wa mwisho kulia) na Ofisa Msindikizaji wa...
0 Reactions
1 Replies
409 Views
Wakuu, Yaani hakuna kupumzika. Sasa hivi Serikali haipati tu upinzani kutoka ndani lakini hadi nje. Haya sasa, Martha Karua kaamua kuipeleka Serikali yenu Mahakamani...
23 Reactions
72 Replies
5K Views
Maisha ni siasa,bila Siasa hakuna maisha. Unapozuia siasa unazuia maisha. Damu ya Maisha ni siasa,unapozuia damu isitembee kwa wiki mbili,unazuia uhai wa maisha yanayoendeshwa kwa misingi ya...
3 Reactions
11 Replies
565 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…