Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Leo tarehe 1 June, tumebakiwa na siku 30 za mwisho wa uhai wa kuwa active wa Bunge hili, ambalo linakwenda kuvunjwa rasmi muda wowote kabla ya Juni 30!. Hivyo huu ni muda wa mwisho kwa...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
WAZIRI WA ELIMU PAMOJA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA ELIMU WAMESHINDWA KUSIMAMIA SYLLABUS NA MIHULA YA SHULE: SHULE BINAFSI ZINA MIHULA NA LIKIZO ZAO TOFAUTI Katika suala hili msomaji zingatia...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Na kwamba uongozi ni kuonesha njia na sio kuwachochea chuki na fujo wanachama dhidi ya wenye maoni tofauti na yao, uongozi sio kukiuka sheria kwa kuropoka, kuwatapeliwa wanachama pesa zao au...
6 Reactions
108 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Biblia Takatifu, Kuua, Kubaka, Kulawiti na kuonea watu ni dhambi. Kama nchi yetu imefikia hatua Makanisa yanafungiwa kwa kukemea dhambi kwa mujibu wa Biblia basi tukubaliane kuwa...
9 Reactions
49 Replies
2K Views
MNEC NADRA GHULAM ASISITIZA VIONGOZI KUFANYA MIKUTANO NA WANANCHI WA MAENEO YAO Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa anayetokana na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Bi...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Eti heche nae ni kiongozi wa kitaifa. Hivi maelekezo yake yanaskizwa na yanafuatwa kweli ndani ya chadema? Kukosea kuchagua viongozi kuna gharama kubwa sana ndugu wadau wa JF. Eti heche nae ana...
4 Reactions
110 Replies
3K Views
Wakuu , nimeona wengi tukiendeshwa na mihemko kuhusu kitabu cha Kabendera, wengi tukidhani kuwa jamaa aliandika tu kwa kukurupuka na kwamba hajui alichokiandika na hana ushahidi. Nimefanikiwa...
20 Reactions
80 Replies
6K Views
Mama Yetu Samia, Leo umefanya Jambo kubwa sana, kwakuwa uliona kuna mgogoro na malalmiko kati ya Simba na Yanga, Sisi wananchi tunaamini Rais Ndo Kila kitu , ukiamua nchi itulie inatulia, leo Bodi...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza. Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa...
34 Reactions
81 Replies
4K Views
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Serikali imeendelea kupongezwa kila kona kwa uwekezaji mkubwa uliofanya katika bandari mbalimbali hapa nchini hususani bandari ya Dar es Salaam kwa ufanisi mkubwa. Akizungumza na waandishi wa...
0 Reactions
1 Replies
350 Views
Nadhani hii Elimu itawasaidia sana Watanzania kwa sababu wao ni mabingwa wa kushangilia misaada Waziri wa Fedha Kenya Mh Mbadi amewaeleza wafanyabiashara kuwa dunia ya Leo haina kitu kinaitwa...
0 Reactions
5 Replies
295 Views
Rais Samia akiwa kwenye ziara ya Kikazi Mkoani Dodoma amesema Tanzania imeweza kuvutia mitaji kutoka kwa wabia muhimu kama Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kutokana na 'Utulivu na Amani, Sera...
0 Reactions
4 Replies
462 Views
Katika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli. Ata hapa Tanzania nkikumbuka 2010,2015,2020, yaani Shamrashamra ziliakuwa kubwa kweli kweli .Kufikia...
10 Reactions
70 Replies
3K Views
Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!! Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!. Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Ili iwe fundisho kwa polisi wa Tanzania, huyu Murilo afunguliwe kesi ya utekaji na uvamizi, kama mahama kuu, haitambui ile barua ya kulifunga kanisani la ufufuo na uzima chinni ya mzalendo namba...
11 Reactions
31 Replies
1K Views
Siasa Trump afikiria kupunguza balozi za Marekani barani Afrika Saleh Mwanamilongo Saa 2 zilizopitaSaa 2 zilizopita Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa mwelekeo wake wa kidiplomasia...
0 Reactions
13 Replies
728 Views
Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana. Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu...
12 Reactions
72 Replies
2K Views
WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…