Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwandishi Wetu Watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye Magereza kwa Tanzania Bara na Vyuo vya Mafunzo kwa Tanzania Zanzibar wametakiwa kuzingatia mafunzo waliyopatiwa...
1 Reactions
1 Replies
320 Views
Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka? Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli? Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje...
12 Reactions
11 Replies
1K Views
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Chato Mkoani Geita, wametoa Msimamo wao na kuvionya baadhi ya Vyama vya Siasa ambavyo vimekuwa vikipanga njama za kufanya vurugu kwa...
0 Reactions
3 Replies
384 Views
Baadhi ya wanawake Mkoa wa Dar es Salaam wamefanya dua maalumu ya kuwaombea viongozi wakuu wa nchi Rais Dk.Samia Suluhu Hassan na Rais Dk.Hussein Mwinyi na kuliombea Taifa liendelee kuwa na uhuru...
1 Reactions
6 Replies
332 Views
Mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abeid Karume, Mama Fatma Karume amesema amepokea kwa mshtuko taarifa ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu, Akiongea leo kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijiti jijini Dodoma, Waziri Mkuu amesema: "Wanaokuja kujieleza na kuwashawishi...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Mimi natembelea wall yadada wa Taifa iliyopo instagram jambo ambalo linanifikirisha sana hivi wale watu ni wazima kweli wanompelekea malalamiko yao mtu anayeishi marekani hivi wanajitambua kweli...
4 Reactions
28 Replies
958 Views
Wakati Serikali ikiwasilisha tathmini ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na mpango wa maendeleo kwa mwaka 2025/26, baadhi ya wananchi na wachambuzi wameibua maswali kuhusu tafsiri ya ukuaji...
0 Reactions
2 Replies
261 Views
"Tanzania haikopi fedha kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Hatujawahi kukopa fedha ili tulipe mishahara, hatujawahi kukopa ili tuendeshee magari, tulipe posho. Fedha inapotoka inakwenda kwenye...
4 Reactions
6 Replies
423 Views
VIJANA wapatao 57 kutoka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato mkoani Geita, wameonesha nia ya kuchukua fomu kuwania nafasi za ubunge na udiwani Uchaguzi Mkuu 2025...
0 Reactions
2 Replies
513 Views
Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mrisho Gambo, ametembelea mradi wa ujenzi wa Barabara ya Engosheraton jijini Arusha na kumtaka mkandarasi wa mradi huo, Jiangxi GEO...
0 Reactions
5 Replies
677 Views
Mara kadhaa nimejaribu kuwapigia kwa simu mlizoandika kwenye website yenu. Ila hapokei simu, why? Pokeeni mle za uso
2 Reactions
5 Replies
412 Views
1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Akishinda Prof tumeshinda Tanzania nzima (bila kujali kabila wala Dini) 2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC, Vatican na...
9 Reactions
105 Replies
4K Views
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amejibu mashambulizi yanayohusiana na wito ulioibuliwa na baadhi ya madiwani wa jiji la Arusha wakimuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda...
33 Reactions
202 Replies
11K Views
"Wangapi mlienda kwenye mkutano soko kuu? mlisikia maneno aliyoyapiga mke wangu? baada ya pale walienda kumsimamisha kazi na sasa yupo nyumbani ana amani kabisa na yupo tayari akiambiwa achague...
1 Reactions
9 Replies
960 Views
Wakuu nadhani hili tuliweke sawa. Hivi mnajua TUNDU LISSU ni mpakwa Mafuta wa Mungu!? Huyu Mh yeye anapendwa tu yaan yeye hata asingeshinda Uenyekiti akahama chama au akaanzisha chama chake...
14 Reactions
21 Replies
1K Views
Mbwa aliye huru ni rafiki wa kila mtu, labda umchokoze Mbwa aliyefungwa na kutiwa minyororo bandani, hana rafiki, hata anayempa chakula, siku atakapojua haki zake, atamtia majeraha, atamchapa...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Kimsingi mmeeleweka KWA asilimia kubwa tena KWA muda mfupi. Kwa utisho wa no Reform no Election rangi nyingi tumeziona. Watu wengi wameona na kuthibitisha chadema ndio wapinzani wa kweli. Sasa...
2 Reactions
5 Replies
768 Views
RAIS anataka kuwakamua wananyonge na Masikini, wakati huohuo amefail katika Usimamizi wa FEDHA hizo zinazokusanywa, amefail katika kukusanya hizo Fedha. Luaga Mpina mara Kadhaa anaonyesha Kwa...
2 Reactions
2 Replies
294 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…