Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rachel Mashishanga amechukua fomu ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia UWT Mkoa wa Morogoro, kwenye ofisi za UWT Mkoa wa Morogoro. Katibu wa UWT Mkoa wa Morogoro ndugu Mwajabu Maguluko amempokea...
0 Reactions
7 Replies
505 Views
🇹🇿 Tanzania Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977: Sifa za kuwa Mbunge ni: 1. Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa au kwa uraia wa kawaida aliyeishi muda mrefu nchini. 2...
1 Reactions
0 Replies
329 Views
Siku tutakapokuja kuwa na katiba mpya kazi ya ubunge iwekewe vipengele vya kuifanya kuwa kazi ya heshima kulingana na hadhi yake na umuhimu katika nchi. Mojawapo ya kipengele muhimu sana ni...
2 Reactions
7 Replies
379 Views
Alichokisema Lema hakina tofauti na alichowahi kusema Alfredo Bowman aka Dr Seby (huyu dr alivumbua tiba nyingi za asilia C.I.A wakamfyeka) kuhusu Ugali Dr Sebi alishawahi kusema kuwa Ugali sio...
19 Reactions
66 Replies
6K Views
Yaani kanisa lake limegalagazwa na serikali ya CCM , waamini wake wanapigwa wakati wa ibada, wanapigwa mabomu ya machozi, wanaumizwa vibaya na dola inayoagizwa na serikali ya chama chake huku...
2 Reactions
12 Replies
498 Views
Kuanzia 2015 kuja hadi sasa, ni tofauti sana na hapo kabla. Ni kama vile wakubwa waliona wakicheka na nyani watavuna mabua, Kilichofuata ni vibano kila sehemu. Media, free speech, n.k Ila kama...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Tundu Lisu na dadake walikuwa wabunge Zitto Kabwe na dadake walikuwa wabunge Ndesamburo, Mkwewe na Mwanawe walikuwa wabunge Dr Slaa na mkewe walikuwa wabunge Nk…….nk Naiona CCM yangu...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Habari wa JF, Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha,jimbo la Kisesa hakuna MwanaCCM yeyote aliyechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama kugombea ubunge.Pamoja na mafuriko ya...
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Hongera Chadema kushinda Kawe 43 kwa 33 Sasa hivi anahojiwa na Clasic fm ya BBC Ameshinda na Chadema Vema.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Joto la uchaguzi mkuu likiwa linazidi kupanda kwa baadhi ya wanasiasa katika halamshauri ya manispaa ya Geita Elia John Yohana mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni muhitimu Shahada ya kwanza ya Elimu...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Mbunge anayemaliza Kipindi chake cha kwanza Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro Mhe. Jonas Van Zeeland leo Juni 30 .2025, amechukua fomu ya kuomba kuidhinishwa na Chama chake, Chama Cha Mapinduzi...
2 Reactions
13 Replies
935 Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhandisi wa Mafuta na Petroli Fautine Matiku amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kivule lililopo Temeke jijini Dar Es Salaam. Fomu hiyo ameichukua katika...
0 Reactions
3 Replies
395 Views
Eng Ezra John Chiwelesa amechangiwa na wananchi wa biharamulo ili aweze kugombea tena ubunge wa jimbo la biharamulo magharibi Wakati uwakilishi wake biharamulo imeshuhudia ukuaji mkubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
"Ninayo heshima kuwataarifu kuwa Mimi Jamillah Hassan Miyonga leo tar 30/06/2025 nimechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa kwa chama changu CCM kutia nia UBUNGE VITI MAALUM mkoa wa Morogoro! Nikiwa...
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Kasimu Matimbwa, mtaalamu wa maji na mchambuzi wa miamba (Hydrogeologist), amejitokeza rasmi kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini katika Uchaguzi...
1 Reactions
1 Replies
282 Views
Mjasiriamali na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Islam Huwel, leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama hicho, akiahidi kuufanya mji huo kuwa...
0 Reactions
2 Replies
337 Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Iringa Ndugu Dr Daniel Mwangili ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kalenga Mkoani Iringa, Mwangili ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Luhota Jimbo la...
1 Reactions
2 Replies
589 Views
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Lindi Tecla Ungele ni miongoni mwa waliochukua fomu leo Juni 30,2025 za kuwania tena nafasi hiyo. Tecla amechukua fomu hiyo katika Ofisi za Umoja wa Wanawake...
1 Reactions
1 Replies
335 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…