Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

GT Da hawa ndugu zangu ushamba umezidi aiseee.
1 Reactions
0 Replies
261 Views
Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu. Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa...
78 Reactions
147 Replies
10K Views
Kijana amekufa SI kwa mapenzi ya Mungu Mama anazugumza alipigiwa simu na mtendaji, akapewa taarifa ya KUKAMATWA kwa mwanae Yeye akiwa hosptali akarudi kwake Akatengewa chakula Akala Akiwa tonnge...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
1.Kifo ni kifo tu. 2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse. 3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe. 4.Utekaji ni drama za wapinzani...
20 Reactions
56 Replies
3K Views
Yaani nchi hii kwa Sasa inasikitisha sana. Yaani ccm kimekuwa chama Cha manyangany'i na mafisadi ya taifa hili. Kupitia kuwa mwanachama wa CCM, waziri, katibu mkuu, mkuu wa shirika, mkurugenzi wa...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Kada wa chama cha mapinduzi ( CCM) Amandus Jordan Tembo, juni 28,2025 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Songea mjini katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapa nchini...
0 Reactions
4 Replies
392 Views
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kahama Mjini 2005 - 2015 James Daud Lembeli amejitosa kwenye kinyang'anyiro cha kuomba ridhaa ya kuipeperusha bendera ya chama cha mapinduzi (CCM) ngazi ya ubunge kahama...
1 Reactions
6 Replies
832 Views
Huyu bidada kwenye debate ya Tundu Lissu kwenye bunge la umoja wa ulaya, ndo Mbunge aliyepiga spana aswaa. Alienda mbali na kusema misaada ya umoja wa ulaya Kwa Tanzania ije na masharti ya ukuaji...
2 Reactions
4 Replies
757 Views
Mwenyekiti wa umoja wa maafisa usafirishaji (BodaBoda)kanda ya kihesa Ndugu ALEX ELIAS DUMA amejitosa kusaka udiwani kata ya Kihesa manispaa ya Iringa Alex Duma anakoleza joto la uchaguzi katika...
1 Reactions
3 Replies
296 Views
-inabidi utii amri hata ikibidi kufanya mavu kwa kadri ya kiapo chako. -Hivyo inakubidi kutekeleza hata maelekezo ambayo unajua fika si haki na ni uonevu na uovu imagine unaamriwa umshambulie na...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
. Huo ndio utaratibu tulojiwekea, ndo maana tulianzisha polisi, mahakama na magereza. Ukilinganisha vitendo vya utekaji, mateso, mauaji ,kupotezwa kwa wananchi kunakoshika kasi inchini, ni bora...
0 Reactions
7 Replies
383 Views
Tufanye tathmini ya bunge la Kasi na viwango la comrade samwel SITA na hili ambalo binafsi sijui lilisimamia nini maana wananchi walitekwa wakauwawa na Bado spika akazuia bunge kuiuliza serikali...
2 Reactions
16 Replies
727 Views
Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea. Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
1 Reactions
18 Replies
589 Views
Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi Anasisitiza yeye si mtu wa nusu...
75 Reactions
72 Replies
5K Views
Just imagine baadhi ya wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama wana kadi za CCM na ndio maana wanadiriki kugombea ubunge kwa ticket ya CCM wakuu wa mihinili ya nchi kama spika wa bunge na jaji...
3 Reactions
18 Replies
880 Views
Mpaka Auliwe nani Ndugu zangu ndio tusimame kudai Haki zetu dhidi ya haya Majangiri yaliyondani ya Serikali na vyombo vya Dola??. Ni Kwa sababu wanouwawa sio wa Damu Moja na sisi?. Mbona Nina...
13 Reactions
69 Replies
3K Views
Anahoji Askofu Gwajima.! Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa...
67 Reactions
181 Replies
13K Views
Ilikuwa ni kauli ya Baraka kwa kijana Hussein Bashe kutoka kwa Shujaa Asiyesahaulika JPM Ngoja tuone hiyo November Ahsanteni sana 🙏
0 Reactions
2 Replies
214 Views
Zifahamu pensheni na stahiki nyinginezo kwa Makamu wa Rais (na mwenza) kwa mujibu wa Sheria ya Stahiki za Viongozi wa Kisiasa Wastaafu (na wenza wao) ya Mwaka 1999 kama ilivyofanyiwa MAREKEBISHO...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…