Update : Lissu siyo Mgonjwa, Taarifa ya muda huu jion hii

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,233
Reaction score
48,668
Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka

Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi

Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi

Britanicca
 
Tundu lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka

Sawa
 
Tukuamini vp chief! Ungetuwekea japo uthibitisho wa sauti!
 
Nini maana ya SALAMA na sio salama? Is another code?
Tundu lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka

Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi

Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi

Britanicc
 
Screenshot_20240714-174333~2.jpg
 
Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka

Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi

Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi

Britanicca
Mungu ataendelea kumlinda Lissu.
 
Nini maana ya SALAMA na sio salama? Is another code?
Vipi unahisi nayeye ni mtu wa uSALAMA? :Clueless:

Kwa hulka yake ya kutopenda kupindisha mambo sidhani. Labda kama mfumo ndio umemchagua kuwa anaweza kuleta mabadiliko na hivyo wakaamua kumpa support ya chini chini.

Hata wale jamaa wanaovaa visoksi usoni pale mahakamani watu wanawalaumu bure tu. Unaweza kuta wako pale kwa USALAMA wa Lissu na sura sao zikionekana mwajiri anaweza kukasirika.
 
Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka

Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi

Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi

Britanicca
Rumours Lissu mgonjwa zinaletwa na nyumbu wa Chadema. Rumours Lissu ni mzima zinaletwa na nyumbu wa Chadema.
 
Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka

Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi

Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi

Britanicca
Ndiyo huyu uliandika hana tamaa ya madaraka, anafata sheria, mambo yake yamenyoka? Na kwamba.......!

Mungu ni Mwema sana
 
Vipi unahisi nayeye ni mtu wa uSALAMA? :Clueless:

Kwa hulka yake ya kutopenda kupindisha mambo sidhani. Labda kama mfumo ndio umemchagua kuwa anaweza kuleta mabadiliko na hivyo wakaamua kumpa support ya chini chini.

Hata wale jamaa wanaovaa visoksi usoni pale mahakamani watu wanawalaumu bure tu. Unaweza kuta wako pale kwa USALAMA wa Lissu na sura sao zikionekana mwajiri anaweza kukasirika.
Wale ni Walinzi na wanateleleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria na kanuni za Taaluma zao.
 
Back
Top Bottom