Mamia ya wananchi wa Kata za Nyakaliro na Irenza walijitokeza kwa wingiJulai 3, 2025, kushuhudia makala za utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Jimbo la Buchosa, chini ya uongozi wa Mbunge...
Ndugu wapendwa katika Kristo,
Ni nani anayeweza kujidai kuwa na mamlaka ya pekee ya kuifahamu kweli yote ya Mungu? Ni nani anayeweza kudai kusikilizwa kwa sababu ya utakatifu wa nje, huku moyo...
Waislamu wa Mombasa wamemtaka Rais Ruto kujenga Msikiti wa kisasa Ikulu
Source Citizen tv
Ruto anajenga Kanisa lenye thamani ya tsh 28 billion kwenye Ikulu ya Kenya na kusema ni Alama ya nchi
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia...
Nilikuwa nafatilia online uzinduzi wa Hema jipya la Arise and Shine ya mwamposa pale Tanganyika peckers (KAWE) nimeona Siasa imezidi badala ya Kumuabudu Mungu. Kila mtu awe mtumishi au kiongozi...
Mchungaji wa kanisa Huduma ya Kristo lililopo mtaa wa FFU kata ya Murieti Jiji Arusha Steven Jacob mwenye umri wa mika 35 ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo Tarehe 16 May 2025 wakati...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amesema jumla ya wanachama 4,109 wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao...
Something is wrong somewhere!
Kwa muda wa miaka miwili na zaidi sasa takwimu zinazotolewa na Serikali na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi zinadai kuwa Tanzania tunaongoza...
Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa
Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu...
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), Bw. Nyanda Shuli, amesisitiza umuhimu wa wananchi wa Tanzania kupewa elimu kuhusu rushwa na madhara yake, ili kuwawezesha kutumia...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika...
Muda umefika sasa kwa wakazi wa Songea town kwenda na Eng. Fuko kwa maendeleo ya wa Songea town, tunaowamba wajumbe msifanye kosa hata kidogo siku ya kupiga kura
Jumapili waumini wa Gwajima waliamua kuvamia kanisa la KKAM lililo jirani na Kanisa la Gwajima mita 200 kutoka lilipo kanisa la Gwajima lililofutwa Walijifanya kama waenda kusali Wakavamia na...
Katika nchi iliyokubali kuwa na vyama vingi vya siasa lakini katiba yake bado ni ya chama kimoja. Ili viongozi wao wawe bora ni lazima wapitishwe kwenye chuo cha Uongozi kilicho mkoa wa Pwani...
Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa...
Kijana amekufa SI kwa mapenzi ya Mungu
Mama anazugumza alipigiwa simu na mtendaji, akapewa taarifa ya KUKAMATWA kwa mwanae
Yeye akiwa hosptali akarudi kwake
Akatengewa chakula Akala
Akiwa tonnge...
1.Kifo ni kifo tu.
2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse.
3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe.
4.Utekaji ni drama za wapinzani...