Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Alphonce Misime akieleza hali ya Ulinzi na Usalama katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), amezumgumzia Amani ila hakuzungumzia haki...
4 Reactions
11 Replies
256 Views
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amemwagiza IGP Wambura kuanza kuwahoji watu mbalimbali ambao wamekuwa waziwazi na ushahidi na vielelezo wakichochea uvunjaji wa amani katika...
3 Reactions
22 Replies
395 Views
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amewataka vijana kuendelea kuwa walinzi wa amani na utulivu nchini, akisisitiza kuwa mazingira ya amani ndiyo yamewawezesha maelfu ya vijana...
0 Reactions
7 Replies
114 Views
Wakuu, Akiwa anapokea gawio kutoka taasisi mbalimbali za Serikali, Rais Samia amesema "Naipokea tunzo hii kwa unyenyekevu. Nikitambua kuwa hii ni heshima ya kazi ya pamoja. Si kazi yangu peke...
4 Reactions
47 Replies
1K Views
Hapo ndani yetu macho,mmoja asipouwawa basi Hata viti wamebadilisha kuogopa kuwekeana sumu kwenye mkutano
9 Reactions
16 Replies
453 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Ameongoza Kikao Maalumu Cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa jijini Dar es...
2 Reactions
36 Replies
710 Views
Awe makini mnooo Sitafunguka sana UPDATE Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!! Britanicca
67 Reactions
172 Replies
13K Views
Akizungumza na wakazi wa Serengeti, Waziri Mkuu, Dr Mwigulu Nchemba ametoa onyo kali juu ya maandamano, ambapo ameeleza kuwa wamewakamata watu waliokuwa wakifanya kazi ya kuhamasisha watu kwenda...
0 Reactions
25 Replies
319 Views
  • Redirect
DKT. MWIGULU ATUA MARA KWA KISHINDO AANZIA SERENGETI ATAKA JENGO JIPYA LA HALMASHAURI LIKAMILIKE KWA WAKATI AANZA KUNGURUMA LEO KWA KUSIKILIZA KERO VIWANJA VYA SOKOINE Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
0 Reactions
Replies
Views
Je, Ni kwasababu miungano hiyo ya kisiasa hujengwa juu ya msingi wa hiyari na kujitolea na sio kisheria? Au ni kwasababu za tamaa, ubinafsi, kutokuaminiana na uchu wa madaraka na vyeo miongoni...
0 Reactions
37 Replies
281 Views
  • Redirect
Huyu jamaa britanicca alipata wapi hizi taarifa? Leo hii dereva wa Heche amekutwa ameuwawa huko Kigoma. Hii inatoa picha kamili kuwa taifa letu lipo chini ya watu dhalimu na wasiofaa kuwa...
12 Reactions
Replies
Views
Mbunge machachari 'Musukuma', amedai kuwa baadhi ya wabunge wa Zanzibar ni "wavivu" na wamekuwa wakitumia Muungano kama kisingizio cha kuficha udhaifu wao wa kutowahudumia wananchi Soma Pia...
0 Reactions
5 Replies
234 Views
Shimo kubwa lililopo katikati ya barabara eneo la Shekilango mara tu baada ya tuta, limeendelea kuhatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Kutokana na ukubwa wake madereva hulazimika kulikwepa...
1 Reactions
9 Replies
199 Views
Kutoka mitandaoni, mwaka huu CCM maji wataita mma, CCM wanajitengenezea matatizo Nimekutana na hii video, Kumbe LATRA walisema wataenda na Police?, mwenye video ya Henche anavoelezea Tanzania...
13 Reactions
69 Replies
1K Views
  • Redirect
Mashaka yangu yapo kwenye aina ya uandishi wa barua, sababu zinazotolewa na aliyesaini barua yenyewe SABABU ZA TAREHE YA KUFUNGULIWA SHULE KUSOGEZWA MBELE: Eti ni uchovu wa walimu na wanafunzi...
1 Reactions
Replies
Views
Taarifa ya Niffer kukamatwa na kushtakiwa kesi ya uhaini niliifurahia. Sikuwa upande wa watanzania waliokuwa wanampazia sauti atoke, hatimaye mawazo yangu nimethibitisha yalikuwa sahihi. Huyu...
7 Reactions
53 Replies
2K Views
Mkana Jinsia Dayon Monsoon aliyehojiwa na Mange Kimambi Canada na kujipatia umaarufu na akiwa mstari mbele kudai haki na kumpinga Samia na CCM. Now ghafla anamtetea Samia na kuwa chawa kama kina...
4 Reactions
8 Replies
289 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, Juni 30, 2026, akihojiwa Kupitia Wasafi FM, amesema uchunguzi kuhusu vipeperushi vilivyosambazwa wilayani humo unaendelea kwa umakini mkubwa ili kubaini...
1 Reactions
17 Replies
410 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Bi. Anastazia Tutuba, akimkabidhi Toroli Bi. Coleta Benedict ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano...
5 Reactions
6 Replies
112 Views
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Soko la Machinga Complex jijini Dodoma, Marico Magale, amesema wamachinga wa soko hilo wamepokea na kuunga mkono uamuzi wa Serikali wa kusitisha mikutano ya...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…