Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijauliza Kwa Nia mbaya ila kuna katabia la kujipendekeza ka viongozi wetu kujiambatanisha na mkuu wa ithanga lothe hii sio sawa. Kuna siku gwaride la uhuru litapigwa songea ruvuma au kule kigoma...
4 Reactions
14 Replies
703 Views
Nilipokuwa shule nilisoma kitabu kimoja kinaitwa NCHI YA KUSADIKIKA Nilijitahidi sana kukisoma kile kitabu lakini sikuwahi kukielewa vizur kilikua na maana gani, na nilijitahidi sana kukisoma ili...
80 Reactions
215 Replies
22K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 hautakuwa wa kawaida bali utakuwa uwanja wa mapambano ya kuikomboa demokrasia ya Tanzania, ambayo kimeeleza kuwa imetekwa na Chama...
1 Reactions
6 Replies
871 Views
Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea...
22 Reactions
257 Replies
27K Views
To all it may concern. Niende kwenye Mada, Kumekuwa na stories nyingi Sana oooh uchumi umepaa Kwa sasa we do better compared to USA & European Countries. In real sense it can't happen to be over...
6 Reactions
26 Replies
941 Views
Sio poa, ziro 68 kwa zamani ilikuwa ni ziro ya shule mbili kubwa pekee lakini sasa hivi ni nchi nzima. Yaani kupata ziro unakuwa celebrity, maana mko wachache sana. Katibu Mtendaji wa Baraza la...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Sasa hivi kila mtanzania analia kuwa hali ni ngumu na maisha yapo duni kabisa. Mama ntilie wanalia, walimu wanalia, polisi wanalia, fundi ujenzi wanalia. Hali ngumu na maisha yapo hovyo. Chama...
5 Reactions
26 Replies
852 Views
Dkt. Mwami, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amezungumzia umuhimu wa kuifufua upya harakati za Upan-Africanism kwa kuanza upya misingi yake ili kuikomboa Afrika. Amesisitiza kuwa...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Katika chapisho lenye maneno makali kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), mwanasheria na mwanaharakati mashuhuri Fatma Karume amemshambulia vikali Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kwa nia...
5 Reactions
72 Replies
3K Views
Sometimes nikimtazama huyu mzee, sitakia kuamini kuwa yuko tofauti sana na wale wanaompinga Mama. Nachohisi, huenda anatumia akili kubwa katika kuhakikisha Mama hatoboi huku akijifanya yuko...
1 Reactions
11 Replies
948 Views
GT CCM ina hali mbaya sana kwa kweli kinachoibeba hadi sasa ni kwamba watanzania siyo watu wa kudhubutu vinginevyo tungekuwa tuanongea mengine. Sasa unajua CCM ikiitisha mkutano.wa hadhara bila...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Katiba mpya ya nchi jirani ni sawa tu na Africa Kusini ya Kaburu, Leo Wakenya wamefungiwa njia za kuingia mjini Nairobi. Kama unabisha Angalia kinachoendelea Huko muda huu Hali ni tete sana...
5 Reactions
62 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukisikia kuifungua Nchi kwa manufaa ndio huku sasa. Ukisikia kuinua uchumi ndio huku sasa,ukisikia kuvutia wafanyabiashara ndio huku sasa,ukisikia kuvuta fursa ndio huku...
2 Reactions
77 Replies
2K Views
Ni mjadala unaoendelea huko X/Twitter kati ya Martin M. Masese na Peter Madeleka (wakili). Alianza kwa swali la kejeli Martin M. Masese akamshushia nondo hizi akirejea mavuguvugu mbalimbali...
73 Reactions
237 Replies
11K Views
Natoa tu angalizo kwa akina Mziwanda kwamba wasiishi kwa kukariri Walikuwepo akina Mtopea wasidhani Watanzania ni wajinga Ahsanteni sana 🐼
1 Reactions
20 Replies
973 Views
Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa jimbo la Texas, Marekani, imefikia watu 78, wakiwemo watoto 28. Taarifa hiyo imetolewa na maafisa wa...
0 Reactions
5 Replies
402 Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULI ZA UCHOCHEZI ZILIZOTOLEWA KWENYE UZINDUZI WA KANISA LA "ARISE AND SHINE" SIKU YA TAREHE IJUMAA TAREHE 5 JULAI 2025. Chadema tunalaani vikali kauli za kichochezi na...
28 Reactions
98 Replies
5K Views
Naibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Taifa, Shangwe Ayo amesema "Tunajua mmejazwa woga! Na huu woga ndio mtaji wa CCM na Serikali. Sasa niwaambie Wanashinyanga, woga haujawahi kuleta matunda kwa yeyote."
1 Reactions
2 Replies
320 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…