Kati ya makosa yaliyofanywa na Serikali yangu ya CCM ni kushindwa kutoa ajira kwa vijana na kuacha wazagae mitaani bila kazi.
Ni kosa kubwa sana kwa sababu vijana hawa ni bomu tulojitegea wenyewe...
Wakati wa mchakato wa kuwapata wagombea na hasa wa Ubunge, viongozi wa ngazi za juu kabisa za chama walijinadi kwamba wana CCM wote waliokua katika nafasi za kuteuliwa na Mkuu majina yao...
Kabla ya uchaguzi Mkuu ujao, Chadema wamekuwa wakiishi na kufanya kazi na Tundu Lissu kama Mwanasheria Mkuu wa Chadema, na Mjube wa Kamati Kuu.
Kumekuwa na tofauti ndogo ndogo ambazo ni kawaida...
Mchakato wa Ugombea CCM ulianzia ngazi za kata na Majimbo na kuishia NEC tofauti na ilivyozoeleka. Kwa mujibu wao sababu kubwa za kupeleka NEC majina yote ya Wagombea ni pamoja na.
>Rushwa (asiwe...
Huwezi amini, mwaka huu Uchaguzi ni rahisi Sana kwa wapinzani wote waliochukua fomu kugombea nafasi mbalimbali, sema Kuna maeneo hayajapa wawakilishi hasa vyama chipkizi, nakushauri ndugu yangu...
Mkurugenzi anayehusika na Uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa Mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi...
Nimemsikilia kwa makini Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo akielezea tatizo la mgombea wa CHADEMA aliyechukua fomu na ambae viongozi wa CHADEMA wamesema hawamtambui.
Mkurugenzi ni wazi kasimama...
Vyombo vya habari kutangaza kwa usawa kampeni za vyama vya siasa ni moja ya vigezo vya uchaguzi ulio huru na wa haki.
Siyo sawa hata kidogo kwa CCM kuvikataza vyombo vya habari kutangaza kampeni...
Kamati kuu ya CCM inayoendelea na vikao vya kuchakata majina ya wagombea nafasi ya Ubunge jijini Dodoma inaendelea na kazi moja kubwa na yenye machungu kwa safari ya ahadi.
Kitu kimoja ambacho...
Wasalaam,
Kuna majimbo ambayo ni wazi yataenda upinzani hasa CHADEMA iwapo CC ya CCM haitotenda haki.
Mathalani jimbo la Meatu lilipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu.
Jimbo hili lilikuwa chini ya...
Habari wana Jukwaa.
Nimefurahi kuona kwa kiasi kikubwa wajumbe wa baadhi ya maeneo kuwachinjia mbali vigogo na watia nia wenye majina na ushawishi mkubwa, Kwa Kigoma Kusini hali imekuwa tofauti...
Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.
Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja.
Ukichukua majina 270 ukayagawa kwa...
Amani iwe nanyi nyote!
Jimbo la misungwi linaundwa na Kata 24 na tarafa kuu nne ambapo jimbo hili kijiografia libapakana na majimbo ya Nyamagana na Sengerema kwa sehemu kubwa ambapo mbuge wake wa...
Naamini CHADEMA Jimbo la kibamba mko wengi, nendeni kwa umoja wenu wote msindikizeni mgombea wenu akapewe fomu ya kugombea ubunge. Huyo mgombea ni wenu wananchi wanachama wa CHADEMA...
Wanabodi, nilianzisha uzi hapa kuhusu watendaji wa Serikali kuharibu taswira ya CCM, Watendaji wa Serikali wao hawana uchungu na chama wanaangalia mishahara na familia zao tu, Makosa ya watendaji...
Wagombea wa Udiwani wa Kata za Mukendo na Kwangwa, Manispaa ya Musoma Mjini, wameshindwa kuchukua fomu zao za kugombea udiwani katika kata hizo, baada ya watu waliojitambulisha kuwa wagombea wa...
Tangu Rais Magufuli aingie madarakani, tumeshuhudia kila mbinu imetumika kuhakikisha mwenye mawazo mbadala hatoi maoni yake kwa namna yoyote ile. Kwa miaka 5 vyazo vyote vya habari vilitekwa, kila...
Wasalaam!
Wanajamvi wasalaam
Bila shaka makamanda wa JF hasa wachadema ambao huu ni uwanja wao wa nyumbani na ni kama kituo chao cha kupigia kura!
Ni ukweli ulio wazi CHADEMA watashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.