Mzee Butiku anasema kwenye Ile tume ya katiba walipowahoji viongozi wote wa Zanzibar walionyesha kuwa na uchungu sana na nchi Yao na hapo viongozi wote walikuwa wanakubaliana na maalim Seif.
Kwa...
Fifteen years ago, the World Bank predicted Tanzania would need a century to achieve 100% rural electrification. In 2026, Tanzania, through REA, achieved universal village grid electrification...
https://youtu.be/MlQRJzlk_JM?si=6mw_RwolPu_sNa9P
Ameyasema haya leo akiongea na waandishi wa habari huko Iringa.
Ameitaka serikali chini ya CCM ikiongozwa na Rais Samia kuweka kiburi na majivuno...
Salaam Watanzania.
Kwa ufupi ni kwamba Nchi imekwama. Watanzania wanabaki wameduwaa.
Samia Suluhu Hassan amebaki na Mamlaka ya Urais kama taasisi tu ila kapoteza Mvuto.
Kageuka kituko kila mtu...
WAKATI TUNASOMA, WAALIMU WALIFUNDISHA; FUATA KILICHOKULETA. UMEKUJA PEKEAKO UTAONDOKA PEKEAKO. WALIFUNDISHA WOGA NA UTENGANO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ukiachana na Dini ambayo imetumika...
Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi.
Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba.
Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa...
Hapa ndipo dodoso linaanza kugusa moja kwa moja credibility ya ushahidi na value ya vielelezo.
Katuga anaonekana kujaribu kumfunga Lissu kwenye admissions alizokwisha kuzitoa wakati wa...
Mapema mwezi Januari 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, alisema Wizara ilipatiwa kiasi cha Shilingi bilioni 2 ambacho kingewawezesha watengenezaji wa maudhui...
Sijui kama Nchimbi alikuwa amejiandaa kukabiliana na dhahma ambazo zinaweza kumkuta baada ya kufukuzwa kutoka CCM na kuachia madaraka haramu aliyokuwa nayo.
Hapa nawaza tu kama labda...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Jaji Shaban Ally Lila, amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuwa...
Kwahiyo wale wanaotilia shaka Uislam wa Ndejembi hawana Mashiko
Ambacho Sina Hakika nacho ni kuhusu Rais na Makamu wake kutokea Upande mmoja wa Muungano kama kinaruhusiwa Kikatiba, hapa labda...
Alituasa Nyerere:
“Ukishakula nyama ya mtu, hutaacha kuila”
Huyu Samuya huyu, bila shaka mwanae kamroga; hana soni wala haya usoni kwake. Baada ya wiki 2 tutaanza kuimba, BRING BACK NCHIMBI.
Tanzania = Tanganyika + Zanzibar 🙏
• Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere.
• Wake wa Ali H. Mwinyi, Sitti na Khadija Mwinyi.
• Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna Mkapa
• Mke wa Jakaya M...
Naona ni kama hawa wanatucheza au kutuosha.
Sioni jipya wala la maana.
Kila kitu kimefanyika kiCCMCCM.
Wananchi wajiepushe kuingia mtego wa karata tatu.
Wote ni wasanii na wananchi ni walengwa...
Mimi sio mnafiki na sitokuwa kamwe, nauliza Leo Emanuel Nchimbi ni mbaya kuliko Samia ccm?
Nalia nalia nalia hapa DODOMA kumepoa hata kama wametoa makamu!
In Quest of my orign and my ancenstral scanning using Artificial Intelligence (AI) I tried to inquest a lot and understand who the hell I am.
In such a quest and wandering I discovered a lot...
Kauli kama hizi zinalipasua Taifa kuanzia kwenye chama chenyewe yaani ndani ya ccm.
Hata kama VP amewachiwa ngazi lkn haileti afya kumuita kuwa yeye ni nyoka Haya maneno yanatamkwa na kiongozi...
Kutokana na sintofahamu inayoendelea na kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Mh. Emmanuel NCHIMBI, duru zinaonyesha mwenye nafasi kubwa ya kuchukua kijiti basi ni kijana wetu Deogratius Ndejembi