Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule...
Humphrey Polepole ameendelea na msimamo wake wa kueleza ni kwa namna gani utaratibu wa kupata mgombea wa Urais kupitia chama hicho ulivyokiukwa.
Polepole amehoji kuwa waliobadili gia angani na...
1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu
Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee...
Kwa hali ilivyo ndani ya CCM kwa sasa kitu pekee kitakachoiokoa CCM ni mchakato wa wazi na unaorushwa live kwenye luninga nchi nzima na vyombo vyote vya habari. Kinyume na hapo Chama hakuna tena...
Siku ya Mashujaa Tanzania ni siku muhimu ya kumbukumbu ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Julai kwa heshima ya mashujaa wa Taifa letu waliojitolea kwa ajili ya uhuru, umoja, na maendeleo ya...
Ukweli mchungu kwa Wana CCM
Kwanini Samia anachukiwa Sana na wanachi masikini, Na wenye kipato Cha Kati?
Ambao population yao ni zaidi ya milioni 60 nchini? Wastani wa wapiga kura 30milion...
Ukweli hii No Reforms No Election ni ya Watanzania wote. Wana CCM sasa wanadhibitiwa mpaka kwenye mikutano yao. Inakoelekea it will get even worse. Makada, Work up.
Wananchama wengi wa CCM wametia nia ya kugombea nafasi za Udiwani na Ubunge. Moja ya sharti lililowekwa na CCM ni kuwa watia nia wote kwa nafasi za Udiwani na Ubunge kwanza watachujwa na Kamati...
Kuna wale Wajumbe wa Mkutanao Mkuu wa CCM waliotangulia Dodoma kula bata eti wakisubiri Mkutano Mkuu.
Warudi makwao tu. Wasitegemee kupata Posho ya safari wala Per diem. Imekula kwenu.🤣🤣🤣
https://www.youtube.com/live/SLd-cTx-idU?si=mNjNJacGsstDpqwD
Leo ndo nimemwelewa pole pole anachokimaanisha!!
Yani katibu ya JMT iliposema kuwa ikiwa makamu wa rais atachukuwa madaraka baada...
Taifa letu lina maeneo mengi wazi ya kuwekeza katika sekta ya mafuta na gesi. Maeneo muhimu sana nayoyaona mimi ni yafuatayo:
1. Vituo vya kujaza mafuta mijini na vijijini (Fuel and service...
Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema,
Na endapo...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
Mimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi.
Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa...
Tahadhari ndugu msomaji andiko hili linaandikwa namimi mwenyewe ili kuwaonyesha kwamba vituo vya CNG vinavyotembea unaweza kuwa uwekezaji wa haraka sana utakao saidia watanzania kunufaika na CNG...
CHADEMA ndiyo Chama cha kwanza Tanzania kuruhusu kufanya vikao vyake kwa kutumia mitandao ya kijamii. Vikao kadhaa vya Kamati Kuu ya CHADEMA vimeshawahi kufanyikia mtandaoni.
Soma Pia: CCM...
==
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa.
==
Mwanza mmebahatika...
Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna...
Wana-ccm wote tulioko mashambani na vijijini ambako hakuna access ya kushuhudia mkutano huu muhimu katika chama chetu wa kubadilisha katiba ndogo ya Chama Cha Mapinduzi
Wajumbeeeeeeeeeh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.