Polepole: Aliwaambia anaomba kuwa Rais?

Polepole: Aliwaambia anaomba kuwa Rais?

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,713
Reaction score
2,745
Humphrey Polepole ameendelea na msimamo wake wa kueleza ni kwa namna gani utaratibu wa kupata mgombea wa Urais kupitia chama hicho ulivyokiukwa.

Polepole amehoji kuwa waliobadili gia angani na kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea, Je aliwaambia kama anataka Urais? aliwahi kutamka?

Amehoji pia je kama kulikuwa na mtu mwingine ambaye alikuwa anataka Urais haki yake ingezingatiwa vipi?
 
Back
Top Bottom