Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management?
Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani...
Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha...
Haya sio maneno yangu Bali ni taarifa iliyoripotiwa Duniani na media kubwa ikipongeza sera nzuri za Uchumi zilizoletwa na Rais Samia na kujifanya sekta ya Utalii kupita Mauzo ya Dhahabu.
Utalii...
Mkoa wa Arusha umepokea TZS3.5Trilioni pesa ambayo ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi ambayo haizidi TZS5Trilioni.
Rais Samia ametoa kiasi cha fedha cha TZS3.5Trilioni ambazo...
Katika nyakati za giza la kiutawala, ambapo siasa imegeuka kuwa uwanja wa majeraha ya nafsi na miili ya raia, tunalazimika kuuliza kwa sauti ya juu: Ni kwa kiasi gani utu wetu unadhalilishwa kwa...
na Evarist Chahali
Niwe mkweli, sina imani katika "urafiki wetu mpya" kati yetu (au tuseme JPM) na Rwanda (tuseme Paul Kagame). Sababu kubwa ya mie kukosa imani (yes I know haijalishi nikiwa na...
Tunafahamu baada ya mahakama ya mauaji ya kimbari kumaliza shughuli zao Arusha tunafahamu kuna kitu kikubwa Arusha kilipungua yaani ile Multiplier effects iliyokuwa inatokana na mahakama iliondoka...
Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi wa wazalendo wachache.
Kwenye ukanda wetu Tanzania ndiyo nchi ambayo siasa zake hazileti maendeleo yeyote ya maana...
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai,lengai ole sabaya anatajwa kuingia kweye kinyanganyiro Cha kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Arumeru Magharibi,Kwa tiketi ya Chama Cha CCM.
Sabaya...
Mhe. Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe tarehe 23 Aprili, 2025 amefanya ziara Kata ya Kumwambu amekabidhi Saruji mifuko 50 Shule ya Msingi Kwizera ili kukamilisha nyumba ya...
Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Muhambwe tarehe 19 June 2025 amekabidhi Bati 200 Soko la Mabamba lililoezuka Tarehe 8/02/2024 baada ya kuwa lilikuwa limechoka Tangu kujengwa Mwaka 1983...
Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Muhambwe leo Tarehe 19 June 2025 amekabidhi Bati 200 Soko la Mabamba lililoezuka Tarehe 8/02/2024 baada ya kuwa lilikuwa limechoka Tangu kujengwa Mwaka 1983...
Watu Milioni 2.6 Zaidi? Hebu Tuchambue Kwa Kina..
Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) ilitangaza kwamba jumla ya wapiga kura 37,655,559 wamejiandikisha kwa uchaguzi mkuu ujao. Kwa mujibu wa Sensa ya...
Salaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu...
-Ni msomi
-Ni Mnyenyekevu
-Hana Lugha Zozote za kuudhi
-Hana baya na mtu
-Wajihi wake Unaendana na Mama
-Mchapakazi sio mkurupukaji
-Hatafuti sifa za Kisiasa
-Hana Makuu
My Take
Kama pua...
Nimeona Mbunge wa jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete akisema kuwa wana Mchinga wamempa kibali cha maisha cha kuwa Mbunge wao.
Maendeleo huko Mchinga yapoje, mpaka wampe kibali kizito hivyo?
Mimi nafuatilia sana Siasa za Jimbo la Arusha Mjini, Jana nimemsikiliza sana diwani mmoja akimuomba radhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha akijifanya analilia kama mtoto wa kike aliyenyimwa Kodi ya pango na...
Chadema kimejijenga kwenye misingi ya matusi, chadema wanaamini wanapata wafuasi kupitia matusi siasa za kibangi bangi kitu ambacho siyo, viongozi wao wameshindwa kabisa kudhibiti matusi bila...