Tetesi: Kwanini ccm hawataki katiba mpya? Hii tuliyonayo italeta machafuko

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,415
30,925
Nawauliza ccm kwann mnataka tuingie kwenye uchaguzi tukiwa na hii katiba mbovu kuliko kawaida?

Mfano tumeshuhudia ubabe wa matokeo ya wabunge Malaya kuchaguliwa chini ya mwamvuli wa dola hivyo wanapita kibabe

Wakati huohuo mnasema matokeo yasipingwe mahakamani !!!

Hii ni dhambi na haram ya wazi kabisa itakayotuletea machafuko siku moja hata Kenya uvumilivu ulifika mwisho wakachinjana na mwisho wakaheshimiana tafadhali tusifike huku !!
 
Mkuu....mi nitakua na panga langu,wallahi tena.....

2020 nakata mtu mahali,na mimi nikatwe pia...sio mbaya ngoma droo!
 
Back
Top Bottom