Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi kikae na vyama vya upinzani wajadili kuhusu mabaduliko ya uchaguzi. Ameeleza uchaguzi ukifanyika bila...
1 Reactions
2 Replies
621 Views
Mchungaji msaafu wa kanisa la KKT Dkt. Steven Kimondo amehoji kwamba kwanini kama chama cha mapinduzi kimekuwa kinasema wametekeleza mambo mengi na wanachama wengi je kwanini wanaogopa kufanya...
0 Reactions
2 Replies
242 Views
Moshi Tunahitaji Kiongozi wa Kweli mwenye matokeo ya maendeleo Sio Mtumwa wa Makundi!!!! Katika kipindi hiki muhimu cha siasa Moshi mjini inahitaji Mbunge mwenye uzoefu, uwezo wa kiuongozi...
0 Reactions
5 Replies
375 Views
Katika mwendelezo wa harakati zake za kuwaletea maendeleo wananchi wa Vunjo, Mheshimiwa Dkt. Charles Stephen Kimei akiwa katika kata za Marangu Magharibi, Marangu Mashariki na Mamba Kusini ikiwa...
0 Reactions
3 Replies
377 Views
Aku Kama una wivu na maamuzi ya wajumbe kadai laki zako 5 Binafsi wajumbee niwapongezee Hamna ubayaaaaa Yaaana ubayaaa........... Kazi iendeleeeee viva chama la wananchi
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana! ni suala la kuongeza Dua tu, hata hawa wawili waliosalia kimiujiza hawana muda mrefu. Mungu hawahi wala hachelewi
17 Reactions
73 Replies
4K Views
Sinzo Khamis Mgeja, mtoto wa Mwanasiasa maarufu nchini, Khamis Mgeja ni mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), walioteuliwa na Kamati Kuu (CC), kuwania Ubunge wa Viti Maalum kupitia (Umoja...
1 Reactions
8 Replies
584 Views
Wakuu! Bahasha zinatembea, beat likipigwa! :oops: Rais samia ameendelea na "desturi" ya kugawa bahasha za Maokoto kwa Wasanii kila wanapotumbuiza kwenye shughuli zake na leo Msaga Sumu...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Mimi nimezaliwa babangu mzazi akiwa Katibu Tarafa, alikuwa akifanya kazi pale Shirika la Ugawaji la Taifa - KIUTA, enzi hizo magazeti ni Uhuru, Mfanyakazi, Daily News na Sunday News.Sasa hivi...
0 Reactions
8 Replies
457 Views
Yule mzee roporopo aliyesema wema hawafi sijui kama tutamuone tena akisema wema hawafi,namuona kakaa kimya kajikunyata kama kifaranga kilichoroa, kwisha habari yake
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli anayemaliza muda wake, January Yusuph Makamba, amesema amepokea kwa moyo mkunjufu na utulivu maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kumuengua kwenye...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Tumezoea huko nyuma mkikatwa mnakimbilia chadema nawaza mwaka huu sijui mnaelekea wapi wallahi napita tu
0 Reactions
1 Replies
220 Views
Mwamba unamuona Serbia mara Abu Dhabi. Huku Dodoma wakichinja syndicate yake bila huruma. Siasa zetu ni shidaa
1 Reactions
9 Replies
753 Views
Mbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo? Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu? Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa. Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wajumbeee oyeeeee Kichujiooo oyeeeeee Viloi.mlioachwaaaa badooo Mna hamu ya kukata rufaaaa?? @kizazikiteule Cc Furahaaaa ....oyeee
0 Reactions
1 Replies
209 Views
Huenda angeambiwa, Asingeenda, angemtuma Naibu Waziri tu !!. Kilichozinduliwa ,katika Teknolojia ya Uranium, ni Uhuni Mtupu
3 Reactions
3 Replies
487 Views
Uzuri wa CCM kila jambo hurekodiwa kimadhubuti kabisa Mlale unono 😄🙏✔️
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Ni mawazo tu, misiba itayotokea miaka kumi ijayo haitakuwa huzuni itakuwa ni furaha. Miaka hiyo ndio watakufa hawa walipo sasa ambao hawana jema la kufanya tuhuzunike sisi Gen Z. Ile kauli ya...
1 Reactions
8 Replies
461 Views
Ni matusi kukiita kiinua mgongo kwasababu hata watumishi waliofanya kazi miaka 30+ katika taasisi kubwa kama Benki kuu, TRA, Bandarini, Tanapa, n.k. wengi sana hawapati hicho kiasi, Kuna jumla...
1 Reactions
5 Replies
400 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…