Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka...
Tanzania inakaribia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Joto la siasa limekuwa likipanda na kushuka, na majukwaa yanazidi kutafutwa, ikiwemo Nyumba za Ibada. Lakini je, hii ni sawa?
Wanasiasa...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa...
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameibuka hadharani na kutoa lawama nzito dhidi ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, akidai kuwa ilihusika moja kwa moja katika...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la...
Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako?
Ninaamini Rais Samia...
Hili ndilo swali ambalo hata wanaccm wenyewe wanajiuliza, Yaani hata wanaccm wenyewe hawajui kinachoenda kurekebishwa!
Ikiwa wenye chama hawajui kinachoenda kurekebishwa ina maana mwenye chama...
WANAOFANYA BIASHARA MTANDAONI BILA KUJISAJILI TRA WAPEWA MWEZI MMOJA KUJISAJILI
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa...
WARAKA WA MOYO KWA MAMA YETU; RAIS DOKTA SAMIA SULUHU HASSAN
(SEHEMU YA KWANZA)
Na: Alex Msama Mwita 🇹🇿
Julai 26, 2025
UTANGULIZI
Mama. Nakuita tena, mama. Leo nikiwa nyumbani kwetu Tarime...
Ninawaza mwenyewe tu. Ninatafakari peke yangu.
Kwamba huu ni ushauri wa nani? Na alitarajia matokeo gani? Kwamba watanzania wote WATAKAA kimya kwa woga?? Ni kama naona dalili ya wanaotishwa...
Na Dr Mutatis Mutandis
Nimefuatilia kiukaribu sana sakata hili linalomhusu ndugu Humphrey Polepole nilichoking'amua ni kuwa ndugu Polepole (wa leo) kwake CCM ndiye mzaliwa wa kwanza na Taifa ni...
Sheikh Ibrahim Kaniki amesema hakuna utengano kati ya dini na siasa, akisisitiza kuwa masuala ya kisiasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini...
Kwa mara ya kwanza nilikidhi vigezo vya kupiga kura mwaka 2005, hata hivyo sikuwahi kupiga kura mpaka mwaka 2015 katika uchaguzi mkuu kulipovuma sana wimbi la mabadiliko, tangu wakati sijawahi...
Waziri Husein Bashe. Serikali imenunua ndege kwa ajili ya kunyunyizia viuatilifu mashambani kwa gharama ya shilingi bilioni 6. Hii ni sawa na zaidi ya USD 2.3 milioni bei ambayo ni mara tatu hadi...
Nimeambiwa kwa njia simu kuwa leo alikuwa kwenye msiba wa mzee mmoja hapo Chato. Hana jipya zaidi ya kujtambulisha kuwa baba yake alikuwa mpishi kwenye kianda cha kuchambua pamaba na kikafunguliwa...
Hongera sana Raisi na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema CCM itajitahidi kuingiza vijana wengi kuwania nafasi za...
Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa.
Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣...