Ukweli mchungu huu!
Sikumbuki ni uchaguzi upi uliwahi kufanyika Zanzibar kwa amani bila damu kumwagika zaidi ya ule wa mwaka jana pekee!!
Kwa miaka mingi damu za wazanzibari zimemwagwa sana...
Mwanahabari mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu amesema Tanzania inapaswa kujipa muda katika kujenga mifumo bora ya kidemokrasia, akitolea mfano uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na...
https://www.youtube.com/live/pMhiTp9NL64?si=xROoNvI7LdkavRdN
Mjadala wa PPP na Maendeleo ya Tanzania Waendelea Arusha
==
Mjadala kuhusu nafasi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)...
Home
Jamvi
Ukweli ni Upi Kuhusu Oscar Kambona?
Ukweli ni Upi Kuhusu Oscar Kambona?
Global Publishers September 14, 2021 5,900 views 0 Comments
SHARE THIS:
Marehemu Oscar Kambona alizaliwa mwaka...
Video hizi mbili fupi zinatupa taswira ya kina na ya kipekee kuhusu mienendo ya uongozi wa kitaifa, siasa za madaraka, na migogoro ya kimaslahi inayowakabili viongozi na watoa maamuzi.
Katika...
Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na...
Kumbukumbu zinaonyesha, Kamati Ndogo ya Maadili ilishawahi kumvua uanachama aliyekuwa Jasusi Mbobevu ambaye kwa Sasa ni Marehemu.
Jibu ni Ndiyo inayo uwezo huo. Na endapo ikitokea, je Tutegemee...
Mbona huwa sijawahi kuwaonea wakina Majaliwa na Mwigulu wakienda kutoa maelekezo, maagizo na kufanya mikutano ya kutatua changamoto za wananchi Unguja au Pumba?
Hii nafasi ya waziri mkuu wa...
Yule rais wao Toka aapishwe kuongoza lile taifa la Malawi na kuendelea mpaka sasa anaenda kumaliza mwaka wa kwanza wa awamu ya pili madarakani.
Kashafanya kazi na manaibu prezida watatu japokua...
Maria Sarungi ameandika post ambazo zimenifanya nimjue kuwa hana akili sawasawa, hajui mambo mengi sana, wajinga tu ndo wanaweza kuamini post zake. Kwasababu chadema Ina ujinga ujinga na upumbavu...
Katika jambo baya sana wakoloni walilotufanyia Africa ilikuwa ni kugawa bara la Africa mezani katika vipande mbalimbali bandia walivyoviita nchi.
Hili ni jambo ambalo limewatesa sana Waafrika...
Kesi ya madai ya umma iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu ya San Mateo, California (Case No. 26 CIV 06555) na Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (imeambatanishwa kama attachment) imeweka...
Tumefikia mahali ambapo viongozi hawana furaha japo wana kila kitu na wananchi hawana raha na hawawapendi viongozi wao.
Kiongozi kila siku anaombewa apatwe na mabalaa watu wafurahi, kiongozi...
Wako wapi? Hilo ndilo swali linaloendelea kuwasumbua familia za watu waliotoweka mazingira ya kutatanisha. Leo, dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kutoweshwa kwa Nguvu...
Hakuna shule inayofundisha kuwa Makamu wa Rais, bali sifa zako na bidii, weledi, nidhamu na utayari wako wa kujifunza kufuatilia na kusimamia shughuli mbalimbali za utekelezaji zitakusaidia...
Mwakumbuka akiwa anahojiwa alivyojibu kwa dhereu na kiburi.
Mwenyewe anacho kilifikiri kinanguvu. Hehehee! Walahi tutaona mengi.
Wewe mzee miyeyusho sana. Humwoni Emma the boy alivyowekewa...