Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama wana uwezo kumuua mwenzao we ni nani ? Hakuna kifo cha Mahabusu , we ulisikia wapi ? Kwamba wakati anajiua wenzie wana muangalia tu ? Hivi Tanzania mna akili ?
1 Reactions
0 Replies
147 Views
Kama CCM inaweza kuhusika kwa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mwenezi wake, na sasa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wake ambao wote walikuwa wajumbe wa Kamati Kuu na...
8 Reactions
16 Replies
321 Views
Utangulizi: Mtikisiko wa Kitaifa Juu ya Kumiliki Ardhi Sakata la hivi karibuni la kutangazwa "kuuzwa" kwa Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika na bilionea wa Kimarekani, Tim Draper...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Haiwezekani mtu awe na chuki kubwa kiasi hiki dhidi ya watu wa upande mmoja wa Muungano. Kuamua kuuza Mali zao, kuwapoteza wanasiasa wa upande mmoja,kufanya ufisadi mkubwa sehemu moja ya...
10 Reactions
14 Replies
331 Views
Serikali imepanga kuanza usajili na utambulisho wa watu wenye umri chini ya miaka 18 kwa lengo la kuwapatia Jamii Namba. Hiki kimekuwa kilio cha muda mrefu sana. Mpango huu utawezesha kila mtu...
1 Reactions
5 Replies
119 Views
Nchi hii linapokuja suala la maslahi watu wanaanza kujipendelea, kubagua wengine. Kwanini VC ambaye ndiye mtendaji mkuu wa University inayomilikiwa na taasisi ya dini fulani lazima we aidha...
4 Reactions
29 Replies
380 Views
Kwamba kauli ya no reform no election ndio ilisababisha vurugu sio kweli. Au kauli ya Lissu kuwa tutakinukisha? Wananchi waliingia barabarani wakipinga ufisadi, utekaji na kukataa uovu waa CCM...
1 Reactions
0 Replies
62 Views
Hayo yamesemwa leo na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa leo 1, Septemba 2026 kwenye uzinduzi wa Septenba ya Utambulisho Amesema kuwa, "Ni kuboresha teknolojia ya kuchapisha vitambulisho...
0 Reactions
1 Replies
64 Views
Malisa Godlisten Leo alikuwa safarini kutoka Marekani ambapo amekuwa kwa zaidi ya miezi tisa (9), tangu alipoenda kuiwakilisha nchi yetu kama mtanzania pekee aliyechaguliwa na Wizara ya Mambo ya...
9 Reactions
20 Replies
499 Views
Bana sikiliza. Nchi hii haina ubaguzi wa rangi, dini au ukabila! Ssa wana JF hebu kumpa mimi rejesho , kwa nini sisi wahindi hapana kumpa nafasi gombea urais nchi hii? Ze Ponjoro
1 Reactions
9 Replies
104 Views
Wanabodi, Matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni pamoja na wanamtandao wenye kujua jambo fulani, kuwaelimisha wengine ili tuu kuwajuza, hivyo hili ni bandiko elimishi. Tanzania ni nchi huru...
12 Reactions
52 Replies
8K Views
Dkt. Azaveli Lwaitama, amekosoa tabia ya watawala kutumia tume mbalimbali za kero na mabadiliko kama mbinu ya kuchelewesha matakwa ya wananchi na kutengeneza matumaini hewa badala ya kutekeleza...
2 Reactions
7 Replies
130 Views
MOSI,Mahakama ya kimataifa ya uhalifu, almaarufu kama The International Criminal Court (ICC) imeanzishwa na MKATABA WA ROMA (THE ROME STATUTE), na huwa inafanya kazi chini ya kanuni iitwayo The...
81 Reactions
163 Replies
7K Views
Tunajikita kushangaa watu wenye mafanikio kwasababu ya makosa ya wazazi wetu.... Wazazi wetu walizaliwa kipindi cha fursa wao badala wasome shule wakawa wanashinda wanawinda vindege maporini...
2 Reactions
9 Replies
84 Views
Bwana mdogo aliuzwa tokea akiwa kwa jirani na kushawishiwa arejee kwa balabala na siyo barabara Wamtakao walimpa task mpokeaji amshawishi arejee na balabala na hilo lili-rahisishwa na mgomo wa...
10 Reactions
20 Replies
449 Views
Tangu ajiuzulu wadhifa wake amekuwa kimya mno. Je, ameenda kijijini kwake kwenda kulima na Kufuga? Emmanuel Nchimbi, nakukumbusha kumbuka viapo vyako ulivyoapa!
8 Reactions
47 Replies
1K Views
Wadau kichwa cha habari chajieleza hivyo naomba majibu yenu.
3 Reactions
4 Replies
129 Views
Majibu ya John Mnyika yanadhihiridha uwezo mkubwa wa akili wa John Mnyika dhidi ya maswali yasiyo na weledi ya Katuga. Sijui kwa nini serikali inapendelea kuwa na mawakili matapeli wa taaluma...
4 Reactions
7 Replies
405 Views
Wakati wa uhai wake mwalimu Nyerere aliwahi kusema katiba tuliyonayo inawezesha kupata rais dikteta, alimaanisha kwamba kwenye katiba kuna matobo yanayoruhusu Rais kujiamulia mambo kwa kadri...
2 Reactions
3 Replies
73 Views
Leo hii nimechukua zaidi ya masaa manne kuwasikiliza viongozi wastaafu, maprofesa na wadau mbali mbali katika mdahalo uloandaliwa na TLS. Hakika nimejifunza mengi na yanilazimu kuwashukuru sana...
23 Reactions
96 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…