Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mada inahusika. Licha ya ahadi za kufanyika uchaguzi huru na wa haki kutoka kwa Rais JPM na serikali yake ukweli uko wazi. Hakuna dalili na ni kama mchezo umeisha kwenye hii hatua ya uteuzi na...
3 Reactions
0 Replies
675 Views
Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani...
18 Reactions
98 Replies
9K Views
Malalamiko mengi kila uchaguzi kuwa wagombea wa upinzani ukosa kuteuliwa sababu mbalimbali, na upelekea upande wa CCM kupita bila kupingwa. Na kamwe sijawahi sikia mpinzani kupita bila kupingwa...
1 Reactions
12 Replies
932 Views
Hata kwenye mapambano ya ndondi zisizo rasmi mtaani jamaa ambaye huwa haongei sana au kujibujibu huwa ana uhakika na ushindi. Muongeaji sana huwa anakula ngumi moja tu chali anazimia na kupepewa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Yes, it was that simple. You baited them and they fell for it and oh yes, once again you exposed them for what they are. You baited them and they fell for it hook, line and sinker. Toothless...
16 Reactions
15 Replies
2K Views
Akizungumza na waandishi wa habari, ndugu Kigaila ameitaka NEC kurudisha wagombea wote wa Chadema walienguliwa kihuni. Amesema kuna watu walitekwa na vyombo vya dola kama TAKUKURU ili wasirudishe...
15 Reactions
65 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Kwa mujibu wa aliyewahi kuwa Rais wa Marekani marehemu Abraham Lincoln anasema "Demokrasia ni serikali ya watu, iliyowekwa na watu kwa ajili ya watu" Huku Magufuli na chama chake...
0 Reactions
3 Replies
740 Views
Wakuu salaam, Baada tu ya wagombea ubunge na Udiwani wa CHADEMA kuchukua fomu maeneo mbalimbali Tanzania watu walitoa ushauri jinsi ya kuepuka makosa kama yale ya 2019. Katika majimbo yote ya...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Habari zenu Wana wa JamiiForums, Natanguliza kusema mimi si mwanasiasa, siijui siasa wala itikadi yeyote. Kwanza toka nizaliwe sijawahi kupiga hata kura ndio labda mwaka huu kwa mara ya Kwanza...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Members, Tundu Lissu makusudi ameitega tume ya uchaguzi nayo imetegeka na kujiweka mahali penye maswali magumu na utata. Kitendo cha tume kuyatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu juu ya...
85 Reactions
113 Replies
13K Views
Neema ya Magufuli ya kupendwa na Wananchi na Wapinzani imeishia 2015. Magufuli alibebwa na sifa ya utendaji kazi na kuwa waziri asiye kuwa na makuu siku zote. Kwa kweli alipendwa na kila kada...
20 Reactions
34 Replies
3K Views
CCM hawako tiyari kwa Uchaguzi, kuna hujuma kali sana zinaendelea usiku na mchana na hazina mwisho na tutajuta mno kuingia kwenye huu uchaguzi, sioni mwanga, naona giza tupu, uhuni huu unaofanywa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nawaza kwa mfano Lissu akishinda 2020 sijui watu wengine wataweka wapi sura zao. Hawa wasanii wetu ambao kila kukicha wana nyimbo za kumsifu na kusherekea uongozi wake sijui na wao wataweka wapi...
12 Reactions
102 Replies
8K Views
Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya...
6 Reactions
92 Replies
10K Views
Jaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Tundu Lissu jambo...
6 Reactions
103 Replies
11K Views
Meneja wa Tehama pale Clouds Media, Stanley William amechukua fomu za kugombea Udiwani kata ya makongo kupitia chama cha CHADEMA Naye mtangazaji Tupatupa amechukua fomu za kugombea udiwani kata...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Tangu Mh Lissu arejee nchini AMEJARIBU serikali na vyombo vyake ili aguswe lakini hajaguswa. Siku alipokuwa akirejea nchini aliwaandamanisha watu kutoka Uwanja wa ndege mpaka Ufipa bila barua ya...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiukweli Tume ya Uchaguzi imekosa uhalali wa kuendesha uchaguzi huu. Habari zenu wanajukwaa wenzangu. Nasema hivi "NEC imepelea kwenye kujibu hoja za Tundu Lissu kizembe". Imekosa uhalali wa...
37 Reactions
112 Replies
9K Views
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, ametoa wito kwa vyama vya upinzani nchini kuwa viache ubinafsi kwa kuwa Tanzania ni kubwa kuliko vyama na kwamba Watanzania hawatowasamehe kama...
14 Reactions
139 Replies
12K Views
CHADEMA nawaasa kuanzia leo saa 10 jioni mna saa 24 tu za kupinga uteuzi kwa maeneo yote ambayo viongozi wenu wamekatwa kwa hila za CCM. Hakuna muda wa kupoteza shughuli ianze usiku huu huu sasa...
29 Reactions
65 Replies
9K Views
Back
Top Bottom