MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,461
- 8,669
CCM hawako tiyari kwa Uchaguzi, kuna hujuma kali sana zinaendelea usiku na mchana na hazina mwisho na tutajuta mno kuingia kwenye huu uchaguzi, sioni mwanga, naona giza tupu, uhuni huu unaofanywa kwa sasa ni trela tu ya picha yenyewe hapo October.
Shida ni pale vyama kama CUF na NCCR wanapoamua kuunga juhudi, wameunga juhudi na sasa wanasulubia vibaya mno.
Huu Uchaguzi sio kabisa, ilikuwa ususiqe kabisa kwa kutumia ile move ya 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaaa