Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa katiba yetu ya mwaka 1977 kuwa Rais aliyepo madarakani akifa basi makamu wake moja kwa moja anakuwa Rais kumalizia ngwe yake. Kwa bahati nzuri hayati Magufuli alikuwa mwanzoni kabisa...
59 Reactions
107 Replies
6K Views
Macho, maskio na shauku za waTanzania wote kutaka kujua au kufahamu kinachoendelea ndani ya makao makuu ya chama taifa ni kubwa mno. Watanzania wanatamani kujua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao...
3 Reactions
90 Replies
3K Views
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii...
38 Reactions
183 Replies
20K Views
Wimbi la wengi kutukana serikali wengine wakijiita manabii ,mitume ,maaskofu nk akina ,Gwajima,mange kimambi, polepole,Rolinga,mbarikiwa mwakipesile , Bagonza nk wako kibao ni kutafuta viewers...
1 Reactions
15 Replies
607 Views
Ufuatao ni ujumbe kwa WaTanganyika tu. Tusambaze kote kote! Na tuwasaidie tafsiri wasioelewa lugha! Ni dakika 2 tu za elimu ambayo hawawezi kupewa na mifumo yetu ya elimu!
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Mpaka muda huu tayari Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kwa 2025 umevurugika. Kitendo cha CCM kumtengenezea Tundu Lissu kesi ya Uongo ya Uhaini ni kosa kubwa la kijinga...
20 Reactions
57 Replies
3K Views
Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni...
20 Reactions
36 Replies
2K Views
Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia. Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540...
5 Reactions
73 Replies
2K Views
Kuna kikundi cha watu hawataki kukuona ukiwa kwenye kiti ulichokalia. Wanaleta Kila aina ya chokochoko. Wanafanya hivyo kwasababu ya upole wako na roho ya huruma ya kimama uliyonayO hivyo...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
1. Utangulizi wa Dira 2050, Nitaanza na ukosoaji na baade suluhisho. Ni Maoni yangu, povu ruksa bila matusi humu ndani. Ukosoaji: Lugha nzuri lakini ya kisiasa mno: Hii sehemu inaelezea...
0 Reactions
3 Replies
402 Views
Baada ya Kanisa lake kupigwa pini ifuatacho kwa Askofu Josephate Gwajima ni kuvuliwa uanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) na kukosa sifa ya kuwa Mbunge Lengo la CCM na Serikali yake yake ni...
10 Reactions
93 Replies
5K Views
Wanabodi, Kufuatia kazi nzuri inayofanywa na rais wetu, Dr. John Pombe Magufuli, ya utumbuaji majipu ya rushwa, ufisadi na uzembe, imefikia wakati baadhi yetu kumuona Rais Magufuli kama...
36 Reactions
403 Replies
59K Views
Mfanyabiashara Rostam Aziz kwaniaba ya Sekta binafsi nchini Tanzania Alhamisi Julai 17, 2025, amebainisha kuwa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 ni Dira ya wananchi, akimshukuru Rais Dkt...
0 Reactions
4 Replies
473 Views
Wasalaam. Ukweli mchungu ni kwamba babu kikwete ndie kinara wa mikataba mibovu inayolinyonya taifa enzi ya utawala wake na utawala huu wa sasa. Na sasa kajipenyeza chamani ba serikali kakalia...
5 Reactions
6 Replies
484 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogro leo Julai 20, 2025 limedaiwa kuvunja kongamano la Baraza la Vijacha Chadema (BAVICHA) kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa baraza hilo Taifa, Deogratius Mahinyila...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
https://www.facebook.com/share/r/16o6d5w3Gq/ Chadema wangeshinda ingekuwa sawa ila hawashindagi
0 Reactions
2 Replies
321 Views
Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
1. Malengo yasiyo na uhalisia Nimemsikiliza Rostam Aziz anasema tume ya kutengeneza dira walikuwa wanalenga Tanzania iwe na ukubwa wa uchumi(GDP) kati ya $bilion 500-700, wao sekta binafsi wakina...
20 Reactions
73 Replies
4K Views
Back
Top Bottom