Mada ya uzi huu si ngeni kwetu sisi Watanzania. Nina uhakika wengi (kama si wote) tunaIfahamu vyema hii kitu lakini ni wakati muafaka kuweka msisitizo hususani kutokana na mazingira tuliyo nayo...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Hanang mkoani Manyara kimewatahadharisha baadhi ya viongozi wa chama wanaofanya vikao usiku vya kukihujumu Chama hicho.
Kimeonya na kusema hakitasita...
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Shibuda alaani Waajiriwa wa TAMISEMI kutofuata Utaratibu na Matakwa ya Sheria za Uchaguzi Mkuu 2020.
Mgombea urais huyo kupitia chama cha ADA...
2015 mgombea wa uraisi kupitia CHADEMA kwa mwamvuli wa ukawa alishindwa kusoma ilani ya chama akaishia kutoa yake ya kichwani kuwa atamleta Balali marehemu,kumuachia babu seya na kuwatoa masheikh...
Baada ya kumsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara,kamanda Bensoni Kigaila, nimepoteza hata hamu ya kufuatilia uzinduzi wa kampeni kwani kwa idadi ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA...
Maendeleo ya vitu hayana maana kama hayabadilishi maisha ya watu kwa muda mfupi na muda mrefu.
Urais sio uwaziri wa miundo mbinu ndugu. Ni maendeleo ya watu, ni ustawi wa jamii, ni ukuaji wa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Hii ni kukupeni taarifa kabla ya habari.
Kemeeni engua engua za wagombea. Msijitenge na kilio hiki ambacho hakuna asiyeona rafu hizi za wazi.
Upuuzi wa kufanikisha...
Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja
Sasa leo...
Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji. Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia kama aonyeshe je...
Chama Cha Kijamii (CCK) kimepanga kuitisha kikao kumweka kitimoto aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama hicho, David Mwaijojele, kutokana na kuenguliwa na Tume...
Wakati CCM ikiangaika kukusanya wasanii kwenye mikutano vyama vingine vimeamua kujipima vinakubalika vipi bila kuwa na wasanii na bila kubeba wananchi kwenye malori.
Je. Kwa Hali hii mkakati wa...
Mkurugenzi wa Huduma za sheria wa tume ya uchaguzi Emmanuel Kavishe amesema kama pingamizi la Tundu Lisu wa Chadema dhidi ya DKT. Magufuli wa CCM lingekuwa na mashiko basi tume ingechukua hatua...
VYAMA vya Siasa 12 vimeitaka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kumchukulia hatua kali za kisheria Mwenyekiti wa chama cha ACT wAZALENDO, Maalim Seif Sharif Hamadi kwa kutoa kauli za kichochezi...
Amani na utulivu huvunjwa na wahubiri wake. Inapotokea mhubiri akatoa hubiri kusisitiza jambo halafu yeye akaenda kinyume chako basi matokeo lazima yawe hasi. Ukihubiri amani halafu ukaanza kuwa...
Honestly TBC wanatangaza wanakuja kuwafanyia coverage mlitarajia fairplay? Yaani Lissu aelezee jinsi jamaa alivyoagiza apigwe risasi kwamba ni msaliti anawasiliana na Mwanyika ambaye naye ni...
Nimeshangaa na kukurupuka kwa chama hiki kuandaa mkutano wa leo Zackem, Mbagala. Maandalizi mabovu watu wa Dar wanahitaji uwaandae uwape muda wakuweke kwenye ratiba.
Dar sio mkoani au wilayani...
Wakati kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu zinaanza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mapambano huo utakuwa mkali sana, baina ya mgombea wa Chadema, Tundu Lissu na mgombea wa CCM John...
Godbless Lema ni Mbunge aliyemaliza muda wake na Mrisho Gambo ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyetumbuliwa.
Lema anekuwa Mbunge kwa zaidi ya miaka kumi sasa lakini mara nyingi amekuwa akizitumikia...
WANACHAMA WA CCM JIMBO LA KALIUA WAJIUNGA NA CHAMA CHA CUF
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, mhe. Magdalena Sakaya amewakabidhi kadi za CUF wanachama wapya waliotoka chama cha mapinduzi (CCM) Jimbo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.