Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
11 Reactions
70 Replies
4K Views
Muda wa kampeni ukafika. Kampeni ilianza kati ya Trump na Rais Joe Biden. Mdahalo wa kwanza ukaandaliwa kati ya Trump na Biden. Biden akafanya vibaya pamoja na kuibiwa maswali ya mdahalo kabla...
17 Reactions
45 Replies
3K Views
Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati...
0 Reactions
3 Replies
391 Views
Kichwa cha Habari kinajieleza kinagaubaga Tunakumbushana tu Nawatakia Siku njema 🙏
2 Reactions
15 Replies
577 Views
https://www.facebook.com/share/v/15eTpk7HpN/
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Huu ndio ukweli na Mr. Slow Slow alikulia timing vizuri sana na ukaingia kwenye mtego. Kama ulishindwa kukaza kutokana na pressure iliokuwepo au kutokana na dalili mbaya ulioiona, basi ujue...
21 Reactions
52 Replies
3K Views
Familia ya Bushiri pazi wamshukuru Rais Samia kwa msaada wa kisheria waliopata kurudisha nyumba yao iliyopo Congo mchikichi iliyodhulumiwa kwa takribani miaka 25 iliyopita
0 Reactions
10 Replies
690 Views
Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Walitaka Uraisi kwa miaka 10 lakini wote hawapo!! Tubadilishe mifumo badala ya uchawa
1 Reactions
4 Replies
637 Views
"ACT NDIO CHAMA KICHANGA KWA UMRI NA KINACHO KUA KWA KASI ZAIDI TANZANIA" - Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Ndg. Ado
1 Reactions
9 Replies
416 Views
Kauli ya Daniel Kalinga Mtumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Wakati akifunga mafunzo kwa Watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo kutoka mikoa ya Iringa,Ruvuma na Njombe.
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Kuweni makini sana na hicho mnachokitamani. Ukweli siwezi kuwaficha na upo wazi, Hata iweje, Hio nafasi mnayotamani master planner achomoke haiwezi kubaki wazi, Never ! Ni lazima itajazwa muda...
2 Reactions
1 Replies
465 Views
Mwenyekiti wa CCT Ask Shoo ametoa hotuba ambayo sikutegemea. Kwenye hotuba yake ya kufungua Mkutano mkuu wa CCT Leo jul 3, 2025 mjini Dodoma alinyooka kwenye kauli yake ya kuunga mkono wazi...
12 Reactions
55 Replies
3K Views
Heche amesema Serikali kupitia Mpiga Chapa wake mkuu imesema kanuni za Uchaguzi zitasainiwa wakati wa operation hivyo kama zitakuja zikiwa zimerekenishwa basi Chadema itangia kwenye Uchaguzi mkuu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Viongozi wa dini, wazee wa mila na asasi za kiraia wametakiwa kushirikiana kwa karibu katika kupambana na vitendo vya rushwa wakati huu taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kusaidia jamii...
0 Reactions
3 Replies
425 Views
WARATIBU wa uchaguzi , wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo wamekutana jijini Arusha kwa siku tatu kwa ajili ya mafunzo ikiwa ni maandalizi ya kuwawezesha...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Wanawake wamefurika katika chuo cha Veta Chato Mkoani Geita, wakichangamkia progaramu iliyotolewa na Rais wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan iliyo na lengo la kukuza ujuzi kwao na...
0 Reactions
3 Replies
311 Views
Huenda jina la Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba likakosekana miongoni mwa watakaogombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kupata...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Kutokana na kukosekana kwa stendi ya mabasi katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James Ameiagiza Halmashauri hiyo kuhakikisha kuwa baada ya miezi miwili stendi...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh Petro Magoti akiskiliza na kutatua kero za wananchi wake
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Back
Top Bottom