Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla. Binafsi naamini kama Mama...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Uongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso umevunja tume ya uchaguzi, hatua ambayo imeibua mijadala mikali kuhusu mustakabali wa demokrasia nchini humo. Kwa mujibu wa tamko rasmi, serikali ya kijeshi...
1 Reactions
13 Replies
711 Views
Wanaukumbi. Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa...
8 Reactions
115 Replies
4K Views
Wamehongana mchana kweupe kuanzia nje ya ukumbi mpaka ndani ya ukumbi. My take kama wanaCCM wanahonga namna hii kupata udiwani tu. Je kwenye ubunge na urais? Kwa ujumla hawapo kwa ajili ya...
3 Reactions
1 Replies
287 Views
Maafisa na wasimamizi wa uchaguzi katika mikoa ya Mwanza na Mara wametakiwa kuhakikisha wanavishirikisha vyama vya siasa kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi, huku wakizingatia sheria na...
0 Reactions
1 Replies
266 Views
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri...
16 Reactions
76 Replies
5K Views
Clip hii inajieleza wazi: Uhayawani gani huu? Kwamba ni kwa niaba ya nani hii? Tushirikiane kuwadhibiti wahuni.
2 Reactions
21 Replies
884 Views
Taifa litapona endapo zitasimikwa sheria za haki nchini ambazo hazionei chama chochote,,, Rais asiwe m/kiti wa chama cha siasa,,, Mahakama zihakikishiwe Uhuru kwa kupewa vyanzo vya fedha...
1 Reactions
1 Replies
174 Views
Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko wanaojulikana kama “Wachokonozi” jana Juni 27, 2025 walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kushtakiwa kwa makosa mawili ya kuchapisha taarifa za...
7 Reactions
71 Replies
5K Views
Walaamu serikali na chama tawala na unabii kuombea mabaya watawala Mungu ndiye aliyewaleta duniani hangakieni na yeye tu sio CCM au serikali Mi frustration yenu na kutoa Nabii feki na maombi...
0 Reactions
10 Replies
442 Views
Ndugu zangu Watanzania , Muda wowote nitaijibu barua ya kujiuzulu iliyoandikwa na polepole aliyekuwa Balozi wa Tanzania Nchini Cuba. Nitazijibu hoja zote alizoziandika katika barua yake...
17 Reactions
473 Replies
19K Views
Askofu Mwanamapinduzi na Askofu Mwenzie wa kanisa la Gwajima wawachamalia waumini wao ibadani leo kuwa wasali na kuondoka kwa amani Wasema mtu yeyote atakayetoka ibadani na kuwarushia maneno...
0 Reactions
10 Replies
902 Views
1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alikamatwa na kutupwa mahabusu mpaka leo, Watanzania kimya. 2. CHADEMA kimefutiwa Ruzuku yake, Watanzania kimya. 3. Viongozi wa CHADEMA wamevuliwa...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Kufatia malalamiko na clip za video zilizokuwa zinatembea mitandaoni nchi nzima siku ya Jana. Clip za video zilizokuwa zinaonyesha wakinamama wa wanaccm wa wilaya ya mkuranga. wakiomba Masada na...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Huyu Mama alikua anatuandaa kisaikolojia kuanzia mwaka 2026 tungeanza Kuishi kama Watumwa nchini kwetu. Kavuruga Mahusiano yote na Ulaya , Marekan , Safari za Ulaya Zimekata ghafla. Kwakujua...
3 Reactions
15 Replies
701 Views
Watanzania tumekuwa na kaunafiki fulani na km tusipojirekebisha itatugharimu sana Kipindi cha kikwete kwa sisi ambao tulishakuwa na ufaham wa kufuatilia mambo ya siasa, Watz walikuwa wanalalamika...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Tundu Lisu hakuitwa Simba wa Kizimkazi kwa bahati mbaya na bila kutengua ule ubatizo CCM itaendelea na patashika nguo kuchanika hadi October Kiroho zaidi Mlale unono 😄
7 Reactions
13 Replies
635 Views
Salaam! Ukisikiza kauli za mtu huyu zilizopita ukilinganisha na aliyotoa Jana, Ni kama anafuta kauli zake zote zilizopita kwamba tubaki na hii ya Jana . Amesema kwamba, jukumu lake ni kulinda...
1 Reactions
5 Replies
583 Views
Back
Top Bottom