Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa heshima na taadhima , Nina ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa lengo la kufikisha salamu zangu njema kwa Chama Cha Mapinduzi Natanguliza shukrani za dhati...
0 Reactions
14 Replies
655 Views
GT Kikwete na Samia waliogopa nini? Unampitisha Mgombea uraisi kwa kusema unadhani tumekubaliana unadhani like seriously?
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu
0 Reactions
12 Replies
744 Views
Malengo ya kuanzishwa ofisi ya msajili vyama vya siasa hayajawahi fikiwa na hayatofikiwa . taswira ya sasa ni kwamba msajili wa vyama vya siasa yupo kwa ajili ya kuhujumu chama chenye nguvu ya...
1 Reactions
4 Replies
357 Views
Kwanza kabisa walikiuka katiba maana mgombea wa urais amehudumu vipindi viwili vilivyowekwa kwa mujibu wa katiba. Mbaya zaidi hata kwenye chaguzi za ndani wanaibiana kur Taifa hili linahitaji...
4 Reactions
4 Replies
284 Views
Kwa yanayoendelea Tanzania, ikiwa kwa CCM, Mwenyekiti angekua sio lazima awe yule ambaye ni Rais, Naamini CHAMA KINGEKUA KIMESHAMREJESHA RAIS KWENYE MSTARI. Sasa Rais ambaye ana miliki vyombo vya...
3 Reactions
2 Replies
408 Views
Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Huyu Bashe Kwa Lugha nyepesi kabisa unaweza muita ni CHAWA asiyemtanzia ambaye anatumia Janja kujiweka karibu zaidi ya Mamlaka ya Juu, ili aendelee kuchukua Nafasi za Watanzania. Suala lake la...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanazi hawana mpango wa kutoa haki kupitia Mahakama , ingekua hivo Kesi ya LISSU ingekua tayari Mahakama Kuu . Ingekua hivo ,huyo Muhuni angekua keshajutoa kwenye Kesi. HECHE HECHE HECHE...
1 Reactions
5 Replies
353 Views
Mheshimiwa Mrisho Mashaka Gambo, Mbunge wa Arusha Mjini, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa heshima na taadhima, ninayo furaha kubwa kukuandikia waraka huu kama kijana na mkazi wa...
0 Reactions
7 Replies
773 Views
Mara kadhaa tumekuwa tukisikia maneno kuwa Rais sio mtu bali ni taasisi ndiomaana wanaomtukana wanashughulikiwa ipasavyo Ukifuatilia yanayojiri mitandaoni ambayo ndio uhalisia kamili wa mtaani...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !. Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Sina lengo la kumjibu Polepole wala sijaona hoja ya kumjibu. Pia siungi mkono kinachoendelea CCM na wakati yeye anakula kodi zetu enzi za Magu alikuwa anatuambia"Unaijua Vieite wewe " He is...
0 Reactions
19 Replies
713 Views
Ni mambo yanayoanzaga kidogo kidogo lakini ghafla yanakuwa utamaduni 2030 sio mbali inaweza kutokea viongozi wakubwa wenye ushawisji kwenye chama wakasema tuna imani na mtu flani (waliemuandaa)...
3 Reactions
13 Replies
590 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam. Awali kabla...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Wakuu! Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo tena anapanda kizimbani, Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya shauri lake la maombi ya jinai...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Je Kwanini Aliongea Haya Leo Anasema Hivi Ilihali Tunajua Kabisa Huu Ni UTARATIBU NA UTAMADUNI Wetu Kama CCM Ambao Tuna-adhimia Kwa Pamoja. Hapa Polepole Wa Mwaka 2018 Wakikutana Na Polepole Wa...
1 Reactions
9 Replies
433 Views
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Bara Amani Golugwa amefika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe kushiriki ibada ya jumapili na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Hakuna cha 4R Hakuna cha miradi Hakuna kingine chochote nchi nzima na hata diaspora ujumbe na Watanzania wanahitaji mabadiliko ya sheria za nchi na kuanza na sheria za chaguzi. Bila hivyo...
5 Reactions
7 Replies
435 Views
CCM wameanza kufoji kura huko Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani baada ya kukamarwa kura feki za udiwani wa viti Maalum yaani CCM ni majanga baada sasa wao kwa wao.
0 Reactions
5 Replies
592 Views
Back
Top Bottom