Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
0 Reactions
15 Replies
894 Views
Ndivyo ilivyo JK mambo yake yanaenda wala hajali na ya wahuni wenzake nao mambo yao yanaenda hivyo wahuni wameshikamana na wamekuwa na nguvu na wakiachwa wakajijenga zaidi hali itakuwa mbaya...
8 Reactions
16 Replies
716 Views
2 Reactions
6 Replies
517 Views
Tunapoelekea kwenye uchaguzi, tutaona na kusikia mengi mojawapo yakiwa ya Josephat Gwajima na Humphrey Polepole dhidi ya chama na serikali yao. Je kuna uwezekano wa kuibuka mitandao ya ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th...
43 Reactions
265 Replies
13K Views
Sijaelewa ni kwa nini Kila akikosolewa Samia Suluhu Hassan ndani ya chama chake ama kama Rais hoja kuwa ukosoaji huo unatokana na dini yake huibuka. Hivi ni Rais gani wa nchi hii ambaye hajawahi...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Ile dhambi ilikuwa mbaya sana sana japo Mwamba alishirikishwa binafsi Nilitegemea Polepole angelaani Nawatakia Sabato njema 🙏
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Gwaji boy alijua yajayo kwake? Kwa Nini alijenga nyumba na kanisa zenye andaki Ili akifatwa adumbukie dubwiiiii! Na polisi wasimuone?
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Watu wa rohoni huu Unabii juu ya hatima.ya Tanzania mnauonaje!
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life...
15 Reactions
30 Replies
2K Views
Wameingiza baridi "No Reforms No Election" imewapoteza kabisa. Wakubali masharti: 1. Mh. Lissu aachiwe huru na kufutiwa mashtaka yote. 2. Wafanye mabadiliko chanya ya sheria za uchaguzi. 3...
1 Reactions
0 Replies
197 Views
“Kuhusu mambo ya utekaji, siyaungi mkono. Dada yangu ametekwa jana. Mimi napost post ya kwanza, wamesharuka ukuta. Wamemtia pingu dada yangu. Wamempiga vibao”
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni zikisema, vikao vya juu vya CCM vilivyotarajiwa kukaa leo na kesho vimehairishwa ghafla. Je, hatua hizo ni matokeo ya spana za Polepole dhidi ya udhaifu wa CCM...
3 Reactions
11 Replies
728 Views
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nilimsikiliza jana Polepole, ni wanaccm wachache sana wanaweza kuchambua mambo kama yeye, na nathubutu kusema kwa dhati kabisa, hata Rais Mama...
0 Reactions
3 Replies
335 Views
Humu ndio home of Keyboard worriors, ambao on the ground wana negative zero impacts. Wanaharakati humu hakuna hata mmoja anaweza tokea kwenye maandamano,ni rahisi sana watu back wasio na acces...
5 Reactions
20 Replies
586 Views
Mwanaharakati huru Bwana Ahmed Kombo amechafukwa na kujitokeza hadharani kumvaa Balozi Humfrey Polepole ambaye ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kwa kukosoa baadhi ya mambo ndani ya Serikali yake...
6 Reactions
77 Replies
4K Views
Husika na mada tajwa hapo juu: Tukio alilolifanya Polepole ni ukosefu wa hekima na busara, ni uvunjivu wa Maadili ya mtumishi wa umma, ni kusaliti kiapo chake, ni uongo ni upotoshaji kwahyo yafaa...
4 Reactions
102 Replies
2K Views
Ikiwa wazungu wana nia ya kuikomboa Africa waanze na hili swala . MTU anafunguaje account nchi za ulaya na anaweka mabilioni ya fedha huko. Mshahara wa waziri na Mbunge na wa viongozi wa juu...
7 Reactions
26 Replies
902 Views
Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi...
0 Reactions
12 Replies
760 Views
Ni swala la muda tu wote watajulikana
0 Reactions
16 Replies
697 Views
Back
Top Bottom