Maccm wameingiwa na ubaridi

Maccm wameingiwa na ubaridi

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,339
Reaction score
5,664
Wameingiza baridi "No Reforms No Election" imewapoteza kabisa. Wakubali masharti:

1. Mh. Lissu aachiwe huru na kufutiwa mashtaka yote.
2. Wafanye mabadiliko chanya ya sheria za uchaguzi.
3. Mchakato kule kwao ufuate Katiba.
4. Uandaliwe uchaguzi huru, haki na uwazi.
5. Wajiandae kuona Rais anatokea upinzani.
 
Back
Top Bottom