"Unajua huyu kuna kipindi aliteleza, Huyu Kitila Mkumbo alikuwa mwenyekiti wa vijana UVCCM mkoa wa Singida, sijui Mbowe alikuja kudanganya nini yule pale, kwahiyo anayo fanya haya ni ya ki-CCM...
Jamani huyu baba wa njaa 55, bado yupo nyuma ya pazia akisaidiwa na babu wa msoga, + system, lengo lao kuu ni kukitengeneza chama fake cha upinzani (chauma).
Chadema ongezeni usiri na makini wa...
Wakuu , huu upumbavu hauvumiliki Jumatatu nategemea kufungua shauri mahakamani kwa ajili ya kuishitaki Serikali kwa kunisababishia hasara katika biashara zangu.
Ushahidi ninao
Hatuwezi kuwa na...
Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine.
Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho...
CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election"
Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania...
Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita.
Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili...
Aliyekuwa mbunge wa Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, Priscus Tarimo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo hilo.
Tarimo amechukua fomu hiyo leo Jumapili Juni 29,2025...
Wajumbe wa kamati ya fedha na uongozi na menejimenti ya manispaa ya moshi ikiongozwa na mkurugenzi wa manispaa Bi. Mwajuma Nasombe Leo wametembelea miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na ilani ya...
Moshi mjiniTunahitaji Kiongozi wa Kweli, Sio Mtumwa wa Makundi!
Katika kipindi hiki muhimu cha siasa, Moshi inahitaji Mbunge mwenye uzoefu, uwezo wa kiuongozi, rekodi ya utendaji uliothibitishwa...
Akiongea kupitia Facebook, Humphrey Polepole amesema "Hata wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi wa 2020 kuna watu huko kwenye majimbo yao walianza kutaka baadhi ya majimbo fomu iwe moja lakini...
Wandugu, tuna mshukuru sana ndugu Slowslow kwa kutuonyesha yalioko ndani ya chama chakavu na kutuonyesha ni kwa jinsi gani mambo yale yenye tija kwa wananchi yanavyoendeshwa kihuni
Kumbe ndani ya...
Akiongea kupitia Facebook, Humphrey Polepole amedai kuwa Kwenye Chama cha mapinduzi kuna desturi hazijaandikwa lakini hazijawahi kuvunjwa ila Rais Samia kazivunja
"Unajua wakati mwingine lazima tubomoe ili tujenge mimi mkristo kuna mstari unasema wakati mwingine inabidi tubomoe ili tujenge. Huu mchakato wa kupata wagombe kwa kweli tumeukosea" Humphrey Polepole
"Na hii lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, sio kipindi hiki, hata kipindi cha Magufuli kuna baadhi ya viongozi walikuwa wanasema mgombea ni mmoja, siyo kweli na kwenye kauli rasmi ambayo...
Humprey Polepole amesema Amani ni tunda la haki, na haipendezi chama chake cha CCM kutokuzingatia haki za watu, badala yake kinazungumzia amani pekee.
Amewaasa kurejea kwenye misingi ya chama...
"Siku inakuja, mtakipata cha mtemakuni na tunawafahamu, unajua wakati mwingine nyie ndio mnalazimishaga mambo tuje tuseme hapana sio tu watendaji, ninyi viongozi kwa matendo mliyofanya na ninyi...
Wakati akizungumza leo Julai 18, 2025 Polepole ameeleza kuwa mchakato wa kumpitisha mgombea uliofanyika Februari haukuwa sawa.
"Mchakato wa uchaguzi unafahamika, tunatangaza ratiba. Tukitangaza...
Mtia nia ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kinondoni, Joseph Boniface Mhonda, ametoa wito kwa wanachama na wagombea wenzake wa CCM kuwa watulivu na kuheshimu taratibu za...
Akijibu swali kuhusu kesi ya Lissu, Polepole amesema sheria zinambana hawezi kuzungumzia hiyo kesi sababu ipo mahakamani
Ameongeza kuwa, 2015 nilikemea kauli mbili nikasema kauli hizi si za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.