Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Yaani CHADEMA ina vituko ambavyo havijawahi kutokea Duniani. Yaani hiki chama kinachekesha hadi basi. Hiki ni kama chama cha Maigizo . Unaweza kufikiria pengine ni chama...
1 Reactions
68 Replies
630 Views
Huu ndio wito wangu ninaouleta kwako Leo hii, Tafakari halafu chukua hatua Unaweza kunipigia kwenye Ile Ile namba yangu, Asante.
4 Reactions
28 Replies
559 Views
Hamjambo! Huyu jamaa bhana. Kiukweli wengi hata wasiompenda, au wanaomuona kama kikwazo. Na wale wanaompenda. Wote tunakubaliana jambo moja, huyu jamaa sio level zetu hasa kimsimamo. Ni watu...
6 Reactions
12 Replies
145 Views
Gödel's Loophole (Shimo la Sheria la Gödel) ni kasoro au uwazi katika Katiba ya Marekani uliogunduliwa na mwanahisabati na mwanafikra mashuhuri Kurt Gödel mnamo mwaka 1947. Gödel aligundua kuwa...
1 Reactions
0 Replies
46 Views
Wakuu mnakumbuka Siku za mwishoni kuelekea KIFO chake, Magufuli alitindiganya mambo sanaaa akaharibu kwelikweli Picha ileile , Inarudi kwa Mzanzibar , Mzanzibar katindiganya mambo sanaaa +...
7 Reactions
10 Replies
358 Views
Lile genge la wahuni wanaoitwa mawakili wa Serikali wamepigwa za uso hadi wamechanganyikiwa kiasi kwamba Mnyika we can term him a man of the match.
3 Reactions
5 Replies
178 Views
Hamna namna yoyote Serikali ya Samia na CCM na Magenge yao yote wanaweza kumpigisha Lissu Magoti. Huyu Lissu huyu mnayehangaika naye Alishakionja KIFO, kwake Kuishi ni Kristo Yesu ,Hana...
9 Reactions
18 Replies
165 Views
Kila zama na kitabu chake watu tuliozawaliwa miaka hiyo tumesoma habari za Nyerere kuhusu ukombozi wa Tanzania na uhuru kila zama na kitabu chake...
3 Reactions
6 Replies
103 Views
Mkutano na Waandishi wa Habari Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, atazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura wa kukabiliana na madhara ya El...
1 Reactions
6 Replies
173 Views
Wanajamvi habari zenu, hongera kwa majukum mnayotimiza lakini pia poleni na matatizizo au shida mnazo kumbana nazo.Leo nitajaribu kuandika kwa kifupi mada yangu ili tuweze kuelimishana na kujuzana...
4 Reactions
14 Replies
187 Views
Rais Magufuli alipotangaza ujenzi wa bwawa la umeme kuanza mara moja bila kujali sura ya mtu alipata upinzani mkali sana kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi. Nje ya nchi gazeti la economics...
8 Reactions
74 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akihutubia katika mhadhara wa umma uliofanyika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, ameisifu...
3 Reactions
38 Replies
252 Views
  • Redirect
Lissu: hao wanaosema Heche ananizuia mimi kutoka gerezani ni akina nani nasikia!? Wanachama: ma CCM Lissu; waambieni hivi, mimi nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapo patikana 📌 Huo...
8 Reactions
– Replies
– Views
Watu wengi wanaolalamikia Serikali wakati mwingine hawajui Serikali ni kitu gani. Mnachanganya mambo. Serikali si Rais peke yake wala Waziri peke yake, ni mfumo mkubwa sana wenye watu wengi. Nesi...
5 Reactions
58 Replies
748 Views
Kashfa ya Vitol (2026): Inahusu tuhuma za ufisadi na upandaji holela wa bei za mafuta nchini Tanzania. Inadaiwa kuwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) lilipewa zabuni na kisha...
24 Reactions
44 Replies
1K Views
" Kama unazungumza harakati za Mandela, unazungumza harakati za Mwalimu, unazilinganisha na nani hapa? Hizi harakati hizi za mtu unasema uongo alafu unalipwa, hizo harakati gani? Harakati za kina...
0 Reactions
2 Replies
120 Views
Biblia inafundisha kwamba wakati wa taharuki waumini wanapaswa kusali. Inaanza na Wayahudi usiku ule kabla hawajaondika Misri. Bwana Mungu alikaa macho usiku kucha akiwalinda. Kwa hiyo wakaamriwa...
15 Reactions
22 Replies
789 Views
Tanzania Ina vituko vingi sana jambo ambalo kwa kawaida Linalohitaji logic ya kawaida kabisa mkuhoji watu wanalazimisha subirieni tume afu wanashabikia tume walioiunda wenyewe. Hivi kweli akili ya...
0 Reactions
2 Replies
70 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…