Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%
Pia, Dkt...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia Makini Taifa, Ameir Hassan Ameir, amesema kuwa endapo wananchi wa Zanzibar watampa ridhaa ya kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika...
Jinsi Nchi za Kigeni Zinavyotumia NGOs na Makundi ya Jamii Kuathiri Siasa na Utawala Tanzania – Changamoto na Suluhisho
Na: Maleko GJ
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) na Mashirika ya Kiraia...
Nimesikitika sana leo kupata taarifa za kadi ya uanachama ya Esther Matiko aliyopokea mwaka 2022.
Tukumbuke mwaka huu Esther na wenzake 18 walikuwa mahakamani kupambania uanachama wao wa Chadema...
Kama mwanachama wa chama cha upinzani, nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa siasa ndani ya vyama vyote, si kwa ajili ya kushangilia mapungufu ya wengine, bali kwa kutambua kuwa mustakabali...
Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu.
Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni...
Labda hili jambo ni geni kwa baadhi ya watu, lakini kwa waliokuwa kwenye chama kwa muda mrefu, haya mambo walitakiwa wawe wanayafahamu.
Nashangaa kuona watu wanalalamika kwamba wameonewa, ilhali...
Wakuu
Daniel Chongolo ameamua kujitosa katika mbio za kugombea ubunge zinazoendelea kupitia tiketi ya CCM.
===
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika
"Namshukuru Mungu, nimefanikiwa...
Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu..
Kama ni kweli, kwanini ?
I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
Hivi si ingekuwa heri tukajaribu model ya Burkina Faso ama Rwanda kuliko kuwa na kikundi cha watu ambao hawakuchaguliwa na yeyote, lakini pamoja na fadhila hiyo ya kujikuta wapo madarakani kwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amepinga vikali madai kuwa CHADEMA, wanachama na viongozi wake waliafikiana kususia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, akisema hakuna...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kama mabadiliko wanayoyadai yatapatikana kabla ya uchaguzi na endapo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atakuwa bado anashikiliwa rumnande...
Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Kikao hicho kimehudhuriwa na...
Unafaidika na kanga? Baiskeli na Tisheti? CCM imekosa muelekeo.
Tumuunge mkono shujaa wa Tanganyika Tundu Lissu Antipass tupate mabadiliko ambayo yataleta ustawi wa taifa letu
Mkia wenyewe wala siyo wa asilia, lkn unaonekana kuyatikisa majibwa.
Kila mwanafamilia asilia wa kaya hii anajiuliza, kwann mkia huu bandia unatikisa majibwa kiasi hiki? Majibwa haya yatavumilia...
Wanabodi,
Hii ni makala ya Kwa Maslahi ya Taifa, kwenye Nipashe ya leo
Utambulisho
Japo mnanitambua kama mwana jf mwenzenu, kwenye mada very serious kama ubatili wa Katiba na ubatili wa sheria...
Historia ndiyo Darubini kali iliyomwibua mmoja wa Wanafalsafa wakubwa Ugiriki, ambaye anaweza kutwambia nini maana ya Ukweli na watu wakweli wa wananafasi gani Tanzania na Duniani?
Aristotle wa...
https://youtu.be/8oVTtfCKXO0?si=PKh_LAr4ch4NzT-z
Anasema:
➡Sababu alizozitoa sio za kidiplomasia, ni za hali ya kisiasa na utawala wa ndani ya nchi...
➡Tukio hili la kujiuzulu balozi ni la pili...