Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!. Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita, imetoa rai kwa mawakala wa miamala ya kifedha kuchukua tahadhari na kufuata sheria na miongozo ya kazi zao...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15...
16 Reactions
204 Replies
16K Views
Hellow! Kwamba kwa kuwa bila CHADEMA kutokea uwanjani na kugomea mechi kuchezwa bila Reforms ,hapatokuwa na hamasa ya mchezo, hivyo maamuzi ni kufanya mambo kimya kimya? Kwamba kwa kuwa...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Baada ya vituo vyake vya kurutubisha nuclear energy kupigwa, mamia ya askari, wanasayansi na wananchi wake kuuawa, Bunge la Iran lilipitisha azimio la kuvunja uhusiano na IAEA, taasisi ya umoja wa...
0 Reactions
10 Replies
640 Views
Tanzania yazinduwa Ndege zake Made in Tanzania kwa mara ya kwanza na kupatiwa Leseni ya kuruka na Mamlaka ya Anga nchini Tanzania TCAA kwa mara ya kwanza baada ya kukamilisha vigezo vyote.
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Nyerere aliwahi kusema kuwa Ikulu siyo pango la walanguzi. Kwa katiba hii tuliyonayo ambayo Rais ndiye Alfa na Omega na kwa Rasilimali tulizobarikiwa Tanganyika ukiwa Rais hata Elon Mask na Jeff...
9 Reactions
18 Replies
998 Views
Akiiwakilisha Tanzania katika Kikao wa 47 cha Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika (AU), jijini Malabo nchini Equatorial Guinea, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini Yosepha Komba ambae kwa sasa ni mtia nia wa Ubunge Jimbo la Muheza kupitia CHAUMMA amedai kuwa ni vyema kuwakabili CCM kwenye maboksi ya...
0 Reactions
3 Replies
331 Views
Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania...
4 Reactions
77 Replies
2K Views
Hizi tetesi za mpina kukatwa na wajumbe ni za kweli?Kama ni za kweli basi hii Nchi inawapumbavu wengi sana.Haiingii akilini mtu ukiwa msema ukweli bila uoga unakuwa adui wa serikali hadi...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Siasa ni sayansi ukiona akina Luhaga Mpina wanaelekea ACT wazalendo basi ujue Unguja imekaribia kujikomboa Nawatakia Dominica njema 😄🙏✔️
1 Reactions
0 Replies
166 Views
Ikumbukwe kuwa hawa ni mabalozi wa Chadema ndani ya chama tawala CCM Mfumo ukiwatupa nje itakuwa ni Aibu Kuu kwa Mwamba na Chadema kwa ujumla Nawatakia Dominica njema 🙏🇮🇱
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mbunge wa kuchaguliwa asizidi vipindi vitatu vya miaka 15 maana yake nini ni miaka 15 kama mbunge umeshindwa kutekeleza kwa wananchi utafanya nini? “Ubunge uwe na ukomo wa miaaka 15 vipindi...
3 Reactions
16 Replies
697 Views
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM), amewataka wanachama wa chama chake kuacha kumwekea fitna ili apate fursa ya kugombea tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakati vikao vya ndani vya wilaya na mikoa vya CCM vinavyochuja wagombea vikiisha mkoani Arusha, taarifa zinadai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na aliyekuwa Mbunge wa...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni asema hana taarifa za kukamatwa na kushikiliwa kwa mwanaharakati,Tito Magoti Mussa Taibu amesema kuwa mpaka sasa hana taarifa ya kukamatwa kwa Ofisa...
9 Reactions
160 Replies
24K Views
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona . Jambo la...
42 Reactions
211 Replies
15K Views
Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti By Beldina Nyakeke Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi...
10 Reactions
170 Replies
16K Views
Hao wote wanautamani ubunge wa Iringa mjini Ahsanteni sana
14 Reactions
112 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…