Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukimsikiliza kwa utuo kada huyu mwaminifu kwa CCM utauona ukweli kuwa chama hicho ambacho kwa sasa tunasema "kinaongozwa" na Mhe.Samia Suluhu kimepigwa kopi na sio kile chenye misingi ya awali na...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Huu Mwaka utaona yanayotokea ni ya 2015 Fanya observation utaona
0 Reactions
2 Replies
346 Views
Hahaaa wajumberee sio watu wazuriii kabisaaa Nimechekaaaa sanasanaaa Hahahaaa KAZI iendeleee Wale mabwana waliohama vyama vyao wakakimbilia ccm wakahisi na dis tym watapata vyeoooo Naonaaaa...
2 Reactions
3 Replies
341 Views
Nimekaa nimewaza hilo, kwa namna Balozi aliyejiuzuru Humphrey Pole Pole alivyoinanga hadharani serikali ya sasa ya Tanzania, CCM na vyombo vya dola, huku akiharibu kabisa taswira ya Mama Samia...
0 Reactions
7 Replies
584 Views
Katika kuhakikisha Uchaguzi Mkuu 2025 unafanyika kwa usalama na amani Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kupitia watendaji wake wa kata limeendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali katika jamii...
0 Reactions
4 Replies
297 Views
Wale wateule waaminifu wa hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa kwenye nyadhifa zao. Na sasa wanapangiwa majukumu mengine. Je, unadhani amebaki nani katika wateule waaminifu wa hayati...
12 Reactions
91 Replies
8K Views
Habari wana jukwaa! Kwa kinachoendelea katika kupitisha wagombea na ukitazama walioenguliwa ni dhahiri kabisa kuwa sasa hivi hata upendwe na wananchi wako vipi bila kupendwa na kiongozi wa nchi...
1 Reactions
2 Replies
361 Views
BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno...
9 Reactions
51 Replies
6K Views
Wanabodi, So mara moja wala mbili, media za nje zinaripoti taarifa negative kuhusu Tanzania. This time Shirika la Habari la Uingereza Reuters, limeripoti habari chafu kuichafua Tanzania na rais...
25 Reactions
152 Replies
18K Views
Nimefanya utafiti kwa mikoa sita haraka haraka kwa kusafiri mwenyewe na mikoa mingine 15 kwa kufanya mawasiliano ya simu. Jumla nimejitahidi kuwafikia na kuwasiliana na wadau takribani katika...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wapigaji ni washabiki wakubwa wa Mama wapigaji wakubwa ni familia ya kikwete na Mwigulu. Wengine ni Wanzibari ambao ni wafaidika wakubwa wa uongozi wa Mama. Usalama wa taifa, balozi nchi...
7 Reactions
14 Replies
671 Views
Sitashangaa kabisa kwa sababu walichobakisha Zanzibar ni kuwa mwanachama wa CAF na FIFA Uanachama wa UN wanaurejerea tu kwa kimombo activate au kikuyu wanasema Huisha ๐Ÿ˜ Niko hapa Mwanga mkoani...
2 Reactions
22 Replies
864 Views
Kila ninavyojaribu kutathimini na kufanya hisabati zangu za siasa naona similarities nyingi sana. Kubwa kabisa ni kitu kilikuwa kinaitwa Kamati ndogo ya Kamati Kuu (Decision Making group) na...
1 Reactions
3 Replies
284 Views
Tusimpongeze MTU wala kumbeza tuache muda uongee Ila kunauwezekano Mzee Kijana na super black wakawa wamewekwa pembeni bila wao kupenda Kwakuwa nikiuchambua uongozi wa awamu ya tano na sita...
0 Reactions
6 Replies
450 Views
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA. Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo...
79 Reactions
319 Replies
22K Views
Nalizungumza suala hili kwa mara nyingine tena, niliwahi kulisema hili miaka 3 nyuma. Adui wa Samia na CCM yake kwa ujumla siyo Lissu wala Chadema bali ni wanachama wa chama cha Mapinduzi wenyewe...
0 Reactions
1 Replies
337 Views
Kwanza kufanikiwa hili ni lazima KATIBA MPYA IWEPO. Ndugu zangu, mnajua kunaujinga ulifanyika wa kuunganisha Dola na CCM miaka Ile wakati wa Mzee Nyerere !. Inawezekana Kwa Nyakati zilez...
5 Reactions
9 Replies
636 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Hongera Mheshimiwa Karibu Singida Mashariki ukatuwakilishe
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Kiukweli Shujaa alikuwa mkali sana lakini alikuwa mvumilivu sana Niishie hapo ๐Ÿ˜„ Mlale unono ๐Ÿ™๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
5 Reactions
21 Replies
904 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ