Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtume (SAW) alisema: "Majaji wako wa aina tatu: mmoja ataingia Peponi na wawili wataingia Motoni. Yule aliyejua haki na akaihukumu kwa haki, huyo yuko Peponi. Yule aliyefanya hukumu bila elimu...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi, Suleiman Bungala maarufu kwa jina la "Bwege", ametoa wito kwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuketi na vyama vingine vya siasa ili...
0 Reactions
1 Replies
319 Views
https://youtu.be/fxKshd29204?si=Y-pLj6LM7zH-KRNk Katika muktadha wa siasa na maisha ya kijamii nchini Tanzania, mara kwa mara tunasikia kauli potofu zinazodai kwamba Watanzania ambao hawapo...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha...
1 Reactions
13 Replies
972 Views
Pamoja na uhovyo wao CCM Kuna kitu kimoja wamefanya vizuri sana. Kubalance suala la dini kwenye chama chao. Watu wa dini zote wanaweza kujiona ni Wana CCM bila tatizo. Nchi yetu ni ya kipekee...
2 Reactions
6 Replies
369 Views
Majimbo ya uchaguzi katika mikoa ya Kaskazini yanapaswa kuongozwa na watu waliowazaliwa au waliokulia katika maeneo hayo. Itakuwa ni dharau kwa wananchi wa mikoa hii iwapo watu wa nje – wasiokuwa...
11 Reactions
93 Replies
4K Views
Aliyewahi kuwa Katibu wa Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, aliwahi kunukuliwa akisema kuwa mtu akiwa amenyooka kama rula ndani ya CCM, akimaanisha kuwa mtu wa kufuata maadili...
1 Reactions
3 Replies
709 Views
Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
0 Reactions
1 Replies
316 Views
"Kwa mtu anayependa haki hawezi kubaki nyuma, kuna namna tu lazima atashirikiana na wenzake katika mapambano ya kudai haki. Vita ya mpenda haki mmoja ni vita ya wapenda haki wote. Leo tukiwa...
5 Reactions
1 Replies
367 Views
Mwaka 2024, kampuni maarufu na inayoheshimika kimataifa katika tathmini za kiuchumi na uwezo wa kulipa madeni — Moody’s wameitaja Tanzania katika nafasi ya juu zaidi ukilinganisha na majirani zake...
2 Reactions
3 Replies
454 Views
Ni lazima Magugu yatengane na ngano. Kuna watu ukiona wanafanya mambo ndivyo sivyo ilihali Mungu amewaumba kwa usahihi na uaminifu mkubwa, unabaki kuumia moyo. Unajiuliza,,hata huyu??? Niliuliza...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Wengi wanadhani kesi za kisiasa zimeanza Leo la hasha tangu mwaka 0033 tayari kesi hizo zilishakuwapo na hata kabla Kama unabisha kasome Biblia yako Ahsanteni sana 🙏🇮🇱
2 Reactions
16 Replies
377 Views
Moja kati ya tabia ya uanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM ni unafiki hasa wale viongozi wa juu ikitokea Rais aliyekuwepo madarakani analipendelea tabaka fulani basi humkingia kifua na kufumbia...
0 Reactions
3 Replies
681 Views
=== Serikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya...
17 Reactions
97 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Mtu aliyefungiwa ndani peke yake akikuuliza nje kukoje inabidi utafakari kwa Hekima sana Mungu wa mbinguni huwatokea na kunena na Waja wake faraghani Aiseee 🐼
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Huo ndio ukweli hata angeingia Ndugai, Bashiru au hata huyo Polepole bado asingekubali kuishia 2025 Katiba siyo mjinga kuweka kanuni za mrithi wa Rais kwamba akirithi mapema atakwenda mihula 2 na...
1 Reactions
1 Replies
169 Views
Kiongozi wa Taasisi ya Vijana na Wanawake, Elvis John Makumbo alieleza kwa nini watu wengi wamejitokeza kuchukua fomu CCM, wakiwemo wasanii, waandishi wa habari na wafanyakazi kutoka sekta za...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesema, "Unapofika mahala una Serikali ambayo raia wake wanaweza kwenda kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali...
29 Reactions
107 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…