Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imeeleza kuwa imepokea malalamiko 11 yanayohusu vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya watiania wa ubunge...
Ukisikia ubinadamu KAZI ndo huu aise MWENYEZI MUNGU ndie ajuae maana yeye ndio aliyetuumba
Walimpiga risasi afe Mungu amemponya
Amekuwa hai Sasa wamemweka GEREZANI ukonga Tena death room na wale...
Nasikitika yule Afande ameukumiwa kifungo Cha maisha kule ntwara kwa kosa la kumuua mfanyabiashara.
Ni Afande Alie mtishia Nape Nauye bastora mara TU alipo waita wanahabari baada ya kutumbuliwa...
Kuna nyakati zifike watu tutumia akili tulizo pewa na Mwenyezi Mungu, tupunguze kuuziwa ujinga na hadaa.
Hakuna mbunge kutoka chama chochote kile anaweza letea Jimbo lake maendeleo ilihali nchi...
Kesi ya Tundu Lissu inaendeshwa kihuni, bila kuzingatia principles of fair trial. Badala ya mahakama kuwa independent interpreter of the law, imejigeuza political tool. Mawakili wa Jamhuri...
Tunakujua toka ukiwa katika Tume ya Katiba na kabla ya hapo kuwa MTETEZI MKUBWA WA HAKI.
Baadaye ukaja kwa Magufuli ukawa sehemu ya KUZIMA HAKI /DHULUMA YA HAKI......
Magufuli kafa, ukakosa...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji-28 kufanya kazi Usiku na Mchana ndani ya Kipindi cha Mwezi Julai na Agosti, akiagiza wananchi wa Miji ya...
Tusipojifunza kwa Mrisho ambaye ni kioo cha Jamii hatutajifunza tena
Kama Mpoto analia mwenzi wake kutwaliwa Je angeliaje kama angetwaliwa na kuuawa kwa wakati mmoja?!
Niishie hapo 🐼
Nimemfahamu Benjamin Sitta kitambo tu akiwa Diwani wa Msasani na Leo ndio nimemkuta kawa DC wa Iringa
Nakumbuka baba yake Mzee Sitta aliwahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Iringa
Masikini Lucas...
Hilo ni swali linaloenda kwa wanazuoni wa dini yaani maaskofu ,mashekhe,wachungaji na wote tuliotarajia watufundishe aya na maandiko ya dini.
Leo hii kinachopostiwa mitandaoni kutoka mimbari za...
Naona utetezi wake unajikita katika kuitisha mahakama na hakimu eti EU watatukemea kuhusu kesi yake. This is a professional misconduct na lazima ikemewe.
Ni vyema utetezi wake ujikite kwenye...
Toka wabadilishwe viongozi wa chadema ndo tumejua wazi wazi kuwa chadema ni mradi wa mabeberu, wanatekelea tamaduni za mabeberu, chadema ni Mapandikzi ya mabeberu
Wamefikia hatua hata ya kumteua...
Kwa tu misaada yao kwetu ambayo ni kiduchu sana kisichofikia hata TSH trillion moja kwa mwaka, hizi nchi za EU zinatuhesabu sisi bado ni koloni lao na maamuzi ya mahakama zetu zinapaswa kufuata...
Wasalaam.
Kujiuzulu ubalozi kwa aliekua balozi wa Tanzania nchini Cuba hakujaja kwa bahati mbaya, kwani ni mara kadhaa hapo nyuma mzalendo huyu amekua akikionya chama chake ccm juu ya kuheshimu...
Niliwaambia ili mfanikiwe mnabidi kufanya tathimini kuhusu bidhaa yenu iliyopo sokoni.
Watalaamu wa biashara wanaelewa kuwa kuna bidhaa ambazo ni fast moving product na slow moving product...
Ni kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania.
Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa...
Kama ni kweli maneno hayo yamesemwa na Rais Samia; kama yalivyo wasilishwa na mtangazaji Salim Kikeke: Maneno yenyewe ni haya: "Nalifanyia kazi jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka...
Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya...
Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako.
Kabla ya kwenda mbali kwanza...