Bongo ndo kama hivi tunaishi

Bongo ndo kama hivi tunaishi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,770
Reaction score
60,584
Tusemeni ukweli nchi gani utapata plot bleach ukiwa kijana zaidi ya Tanzania hii ndo nchi ya Kula Wazee tuire kweri Maisha mbona yanaenda wakuu nyie mna shida gani?mna njaa? pombe mmenyimwa?wanawake wazuri hamuwaoni?
 
Tusemeni ukweli nchi gani utapata plot bleach ukiwa kijana zaidi ya Tanzania hii ndo mucho ya Kula Wazee tuire kweri kweri.
Kila siku humu tunakumbusha tumrudie kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S hatusikii matokeo yake ni HAYA. Mwamba aliuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.

Screenshot_2025-07-18-16-28-51-07_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
Screenshot_2025-07-15-22-17-10-21_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

Screenshot_2025-07-11-11-54-34-89_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Kulaa mondeee aloo,itaa na katoto kaelfu mbilii ukalale Nako asubuhi uamkie AZUMA kabla ya supuu mkuu😁😁😁
 
Tusemeni ukweli nchi gani utapata plot bleach ukiwa kijana zaidi ya Tanzania hii ndo mucho ya Kula Wazee tuire kweri kweri.
Ccm wote wanamakazi karibu mbezi beach
 
HAYA NDO MADHARA YA KUNYWA KISUNGURA BILA KULA
 
Back
Top Bottom