https://www.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk
Sio sawa mtu mwenye werevu mpana kama wa 'Dr. Kimei' kwenye maswala ya finance kwa mazingira yetu kuondoka bila ya kutoa elimu ya finance kwa viongozi...
Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu.
Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir
Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa...
Nimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake.
Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini?
Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama...
Pole sana rafiki yangu kachupi mwana Aza boy mwenzetu Mimi na Pole pole🤣😂😀😝 hii kazi nakumbuka uliipata miaka 3 baada ya kutoka Azaboy.
Usiku wa Leo majira ya SAA TANO ukujua lire pagala...
Naomba kujua kazi za katibu tawala,naomba kufahamu kazi ya KATIBU tawala wa mkoa, na tofauti ya mkuregenzi wa maendeleo wa mkoa.pia kama kuna KATIBU tawala he mwenyekiti tawala ni nani katika...
Asalam aleykum waislamu wenzangu.
Hongereni kwa mahangaiko ya siku,poleni na madhila ya utafutaji.
Mimi nimesoma vitabu vingi vya mageuzi lakini ni kuwa zama zimebadilika sana ambapo jumla ya...
Core message Polepole would want his listerners /Tanzanians to retain
1. Ukiukwaji wa katiba na taratibu za CCM..............fomu moja ya "mgombea" (hajamtaja
SUMMARY YA PRESS YA POLEPOLE
@AbroadTanzania
1. Pole pole amemkataa Mgombea wa CCM Ataja kikwete kuvuruga mchakato, asema Utaratibu ulivunjwa, ataka wagombea wawe wengi siyo mmoja.
2. Asema...
Polepole kama lilivyo jina lako. Laiti kama ungekuwa una akili timamu wala hayo unayoyazungumza wala usingeongea kwa sababu zifuatazo.
Wakati ulipokuwa katibu Mwenezi wa chama ndo kipindi Ben...
Wakati Watanzania mbalimbali waki summarize Press ya Mzalendo Polepole Kwa namna mbalimbali waonavyo.
Polepole yeye kahitimisha Kwa kusema huku akisisitiza "Mwaka huu KwaDesturibya CCM kunapaswa...
Polepole ametafsiriwa kueleza kuwa utaratibu uliotumika kumpitisha Mwenyekiti Samia kuwa mgombea wa urais, na tena mgombea pekee, haukuwa wa kikatiba hivyo basi ni batili. Swali ni, iwapo hatua...
Nazingatia bara. Umakamu aliupata kama dodo na ukuu kimserereko. Hakuchaguliwa yeye kama yeye ila kwa mgongo. Na hata sasa ndani amegoma kuchaguliwa ila kujichagua. Anataka wote tumuunge mkono...
Hawa ma comrade huko CCM kwenye chama chao, wasipuuzwe.
Wanayo maono kuhusu chama chao na wameonyesha uthubutu zaidi ya yehote yule ndani ya chama, huenda ni chambo au wana tengeneza kitu na...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupokea taarifa za kutekwa na kurejeshwa kwa mwanamke aliyejitambulika kwa jina la Christina Hezroni Polepole Kinyangazi, mwenye umri...
Pole pole yupo smart sana anajua mbinu za kumshabuliwa Adui .
Kwanza kabla ya press conference alisema ataongea mambo kwa 25% .
Katumia muda mwingi kuelezea CV yake .
Katumia lugha ya kifalsafa...
Hichi ndicho kinachoendelea vichwani mwa baadhi ya wanaCCM baada ya Polepole kulipua kambi ya kijani siku ya jumapili na kisha leo kuibuka upya na petrol kuteketeza kambi nzima ya kijani.
Makada...
Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni...