Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tundu Lissu atofautiana na Askari Magereza Mahakamani, azuiwa kushikana mikono na Mawakili wake ambapo alizuiwa pia kupeana karatasi na Mawakili wake, jambo lililosababisha mvutano kati yake na...
9 Reactions
59 Replies
4K Views
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in...
-1 Reactions
145 Replies
3K Views
Humphrey Polepole na Bashiru Ali hawa ni WanaCCM walioibuliwa na Hayati John Pombe Magufuli!! Hawana historia yoyote ya kuwahi kuwa na mapenzi na CCM hapo kabla ya kuibuliwa na Magufuli...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Naomba majawabu kutoka kwenu wabobezi Simply nauliza Dira ni nini? Nimekaa pale 🐼🙏
0 Reactions
2 Replies
197 Views
Nimezaliwa na kukuwa Arusha. Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu. Naona Makonda kama mvamizi tu. Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya...
12 Reactions
88 Replies
3K Views
Umekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika. Haiwezekani mwenyekiti wa chama...
39 Reactions
139 Replies
9K Views
Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu 1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi. 2-Kuhadaa...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Katika historia ya mataifa mengi, na hasa Tanzania, uongozi umetazamwa kama dhamana takatifu inayopaswa kuheshimiwa, kutunzwa na kutekelezwa kwa moyo wa unyenyekevu. Hata hivyo, hali ya sasa...
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Friends and our Enemies, Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo... Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima.. Unajua hadi mtu anafikia...
4 Reactions
59 Replies
2K Views
Nimemsikiliza mbunge Aidan Kabudi akichamgia mjadala bungeni muda sio mrefu. Hakika mchango wake ni bora sana. Ninalotaka kusema hapa ni kwa nini mtu kama huyu mama amemuweka nje ya baraza la...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Salaam ndugu, Moyo wa mtu ni kichaka, Na duniani hapa, wanadamu wote hutenda DHAMBI, toba ndio kitu pekee Cha kuharakisha kufanya ikitokea umeteleza. Ninaona unajaribu Kurudisha watu warudi...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri Mkuu anayemaliza muda wake, Mh Kasimu Majaliwa, siku aliyotangaza kutogombea tena Ubunge wa Ruangwa, aliongea kwa msisitizo na kwa kurudiarudia mara kadhaa, kwamba anataka mrithi wake awe...
11 Reactions
90 Replies
3K Views
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia. Itisha press, uongee na Taifa...
55 Reactions
147 Replies
6K Views
Nimeuzulia mazishi ya Mke wa Mrisho Mpoto, yeye anijui, Mimi simjui na Wala sio rafiki yangu ila mie namwita mjomba kwa sababu ya nyimbo zake za kale. Sijapenda kwa umbea nimeenda kwa sababu ni...
18 Reactions
32 Replies
2K Views
So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia]. Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au...
38 Reactions
96 Replies
6K Views
Leo tumejionea utofauti kati ya wapiga kelele na mawakili tulivu wa Serikali ambao wamevisoma vizuri vifungu vya sheria.
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Salaam, Mwenyekiti mstaafu hakuwahi kukabidhi ofisi, na aliyekabidhiwa ilibidi anyamaze tu, maana sasa utasema nilikuta hilli na hili halikuwepo, nani shahidi? Jambo Hilo Hilo limejitokeza kwa...
0 Reactions
7 Replies
593 Views
Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Ukifuatilia kwa makini, utagundua chama cha harakati [CHADEMA] hawajui wanahitaji nini ili kufikia malengo ya ajenda yao ya NRNE. Leo hii, akiibuka mtu yoyote kutoka chama chochote na kusemea...
0 Reactions
7 Replies
409 Views
Kwa sasa Mbowe akiwa Chini ya Tundu Lisu hanufaiki kwa lolote ndio sababu kajiweka kando Mungu jalia mara paap Tundu Lisu anakuwa Rais wa JMT na Mbowe anabahatisha kupata Ubunge wa Hai kupitia...
1 Reactions
24 Replies
777 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…