Askofu Gwajima anahitaji msaada wa haraka wa kisaikolojia

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
46,590
Reaction score
38,160
Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti kalikiti na matokeo yake anaweza kujiweka kwenye hali hatari na mbaya kabisa kisaikolojia.

Ndugu wadau, sote ni mashuhuda, ukitazama appearance ya Gwajima utagundua kitu, ukitazama facial expressions zake, tones zake na body language kwa ujumla vinadhihirisha na kuthibitisha wazi kwamba muungwana alikua anapitia na bado anapitia changamoto fulani nzito mbaya sana za kibinafsi, sio tu za kisaikolojia bali pia kiroho na kimwili zilizomfanya kupoteza kabisa nuru na haiba yake ya bashasha na ujasiri iliyozoeleka anapotokea kuzungumza na umma.

Gwajima amepooza, gwajima kawa mpole isivyokawaida.

Ikimpendeza, apate likizo kwenye mazingira mapya ya walau hata 3months huenda akanusurika hasa kisaikolojia, vinginevyo akishupaza shingo, mambo inaweza kua mabaya zaidi. :putinWalk:
 
Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti kalikiti na matokeo yake anaweza kujiweka kwenye hali hatari na mbaya kabisa kisaikolojia.

Ndugu wadau, sote ni mashuhuda,
ukitazama appearance ya gwajima utagundua kitu, ukitazama facial expressions zake, tones zake na body language kwa ujumla vinadhihirisha na kuthibitisha wazi kwamba muungwana alikua anapitia na bado anapitia changamoto fulani nzito mbaya sana za kibinafsi, sio tu za kisaikolojia bali pia kiroho na kimwili zilizomfanya kupoteza kabisa nuru na haiba yake ya bashasha na ujasiri iliyozoeleka anapotokea kuzungumza na umma.
Gwajima amepooza, gwajima kawa mpole isivyokawaida.

Ikimpendeza,
apate likizo kwenye mazingira mapya ya walau hata 3months huenda akanusurika hasa kisaikolojia, vinginevyo akishupaza shingo, mambo inaweza kua mabaya zaidi. :putinWalk:
Ila wewe unauhitaji katika muda wa kuchelewa saaana
 
Askofu anaugonjwa wa chuki binafsi against Rais.Ana ugonjwa wa udini na ugombanishi
 
Naona dawa imewaingia vizuri na yule mtu wenu anayefungia makanisa.
 
Kwani ukiandika uzi mara nyingi ndio inakuongezea nafasi ya kuteuliwa?
 
Askofu anaugonjwa wa chuki binafsi against Rais.Ana ugonjwa wa udini na ugombanishi
Ila nyie mna mapenzi yasiyopimika kwa taifa msiache kusema hivyo na mtembee kifua mberee bila kumsahau Lucas na genge lake.
 
Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti kalikiti na matokeo yake anaweza kujiweka kwenye hali hatari na mbaya kabisa kisaikolojia.

Ndugu wadau, sote ni mashuhuda,
ukitazama appearance ya gwajima utagundua kitu, ukitazama facial expressions zake, tones zake na body language kwa ujumla vinadhihirisha na kuthibitisha wazi kwamba muungwana alikua anapitia na bado anapitia changamoto fulani nzito mbaya sana za kibinafsi, sio tu za kisaikolojia bali pia kiroho na kimwili zilizomfanya kupoteza kabisa nuru na haiba yake ya bashasha na ujasiri iliyozoeleka anapotokea kuzungumza na umma.
Gwajima amepooza, gwajima kawa mpole isivyokawaida.

Ikimpendeza,
apate likizo kwenye mazingira mapya ya walau hata 3months huenda akanusurika hasa kisaikolojia, vinginevyo akishupaza shingo, mambo inaweza kua mabaya zaidi. :putinWalk:
Anatapatapa. Hajui pa kushikia. Magwajima yasirudi bungeni. Mbunge wa mchongo wa Mwendazake. Alipendelewa, lakini bahati haiji mara mbili.
 
Mmejenga Reli hospital tuanawanachama milioni 12+ kwanini tusiwape chadema reforms kwanza chama hakuna hata viongozi 😂😂
 
Back
Top Bottom