Kuishi kwingi ni kuona mengi,nimemuona Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani,akiwa na thamani kubwa kwa jamii,nikamuona Lipumba akiwa CUF,tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo ni kati ya watu kumi...
Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo
Kama nchi...
I. Utangulizi
Salaam Profesa Kitila Mkumbo na Timu yako. Nimepekua kitabu cha "Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050" kilichozinduliwa Jijini Dodoma, tarehe 15 Julai 2025 (Kiambatanisho A).
Uzinduzi...
Dira ya Taifa inayotarajiwa kuzinduliwa leo, imeandika kulenga kufikia Tanzania ya Viwanda kufikia mwaka 2050 ambapo imesema wanataka kuwa nchi ya kipato cha juu cha kati (Upper Middle Income...
Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote...
https://youtu.be/QluC2lIyj9k?si=oubNv3EMJB1I7xo6
Hivi ndivyo unavyoweza kusema kuwa, sijawahi kuona wakati wowote kuwa, kesi ya uhaini wa Tundu Lissu, sasa yageuka kuwa biashara nono mitaani kwa...
Vjana wanaonekana kusikitishwa na Maamuzi ya mbowe kwa kuuzulia halfa ya watesi wa Chama Chake CHADEMA
Bon yai:
"Nihurumie, Ee Mungu,kadiri ya fadhili zako;ufutilie mbali makosa yangu,
kadiri ya...
Leo tatehe 17/July,nimeshuhudia matusi,kejeli kutoka kwa wana chadema,juu ya mh.mbowe kuhudhuria katika suala ambalo linakwenda kutengeneza hatima ya maisha ya mtanzania kwa miaka 25 ijayo,Mbowe...
Hii niliyoiona Leo Upendo tv nimezoea kuiona Citizen tv kwa akina watangazaji nguli akina Barron, Samy na Yvonne
Kuoneshwa Hakimu akiongea mubashara na Tundu Lisu akijetetea mubashara kwenye...
Kuna mambo ya hovyo sana Afrika yanafanyika bila kuzingatia uhuru, utu, haki na utawala bora.
Leo mahakamani ambapo ni sehemu huru panategemea maelekezo kutoka kwa DPP ili mtu ashitakiwe ama awe...
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Buhime amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), na kukabidhiwa kadi na Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Umma wa Chaumma, John Mrema...
Katika mambo ambayo Chadema mliferi na kusababisha safari yenu kuelekea Ikulu kuwa ngumu, ni kukaa miaka na miaka na mtu ndumila kuwili
Mtu huyo, badala ya kung'amua mapema nyendo zake kisha...
Viongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani?
i/ Kama mjumbe...
Mali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Same zimetolewa nje katika iliyokuwa ofisi ya chama ya jimbo hilo kwa kile kilichoelezwa ni kutokulipwa kwa kodi kwa miezi sita.
Leo...
Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, akizungumza leo Julai 16, 2025 jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari, amesema, "Nataka nisisitize kwamba mimi bado ni Mwanachama wa...
Huyu mama ameshajua wapi panavuja kwenye Katiba yetu, kama Rais mwanamke lazima hataacha kero ya Katiba hivihivi. Kinachotakiwa ni watanzania kumpa moyo, utulivu na mazingira ya kuandika katiba...
Wananchi wa Tunduru, mkoani Ruvuma leo wamejikuta wakigombania kadi za kuomba uanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA).
Tukio hilo limetokea leo baada ya viongozi wa chama hicho...