Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haya maneno ya Polepole yananikumbusha mifano ya utekaji iliyotolewa na Askofu Gwajima ilivyomuhudhunisha P wa Kinondoni Niishie hapo 😄
1 Reactions
5 Replies
822 Views
Nasikia Wenzetu kwenye vyombo vingine tayari wanamsikiliza Kwanini hapa JF bado? 🐼
2 Reactions
5 Replies
326 Views
Kuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe.. Hata Nape alivyotaka kuongea baada ya kufanyiwa uhuni...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Leo sitomwaga mchele Ila mtambue kuna watu wameajiriwa kwa hiyo.kazi Huyu ndugu yangu muda mwingi alikuwa haendi kazini Ila akienda ilikuwa ni vikao Vya kuua na kutesa . Watu huwa wanafikiri...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwanza hongera sana kwa Uteuzi wako. Kama sikosei ulipelekwa Mahakama ya Rufani ukiwa na miaka 60. Hivyo sasa utakuwa Jaji Mkuu kwa kipindi kisichozidi miaka 5 kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Pamoja na mapungufu yake yoote, Nyerere aliona unyeti wa Uhuru wa Mahakama ndo mana aliheshimu sana mapendekezo ya Wanasheria waliopendekeza uwepo wa Ibara ya 107A ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
16 Reactions
45 Replies
2K Views
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook: Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo...
13 Reactions
27 Replies
2K Views
Baada ya Polepole kusema kuwa Dada yake amevamiwa na watu waliokuwa wanauliza taarifa na hajulikani alipo, nikaunganisha na Mzee Kibao kutekwa kwenye basi na poisi mchana kweupe na kwenda kuteswa...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Wakuu! Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha...
11 Reactions
83 Replies
6K Views
Jiwe hakupenda kukosolewa, na kila aliyejaribu kumkosoa alikomeshwa na wako wengine waliuawa akiwemo Ben Saanane Kimsingi Askofu wa huko kwao Niwemugizi wa kanisa katoliki , Kanisa ambalo Jiwe...
0 Reactions
3 Replies
447 Views
Donald Trump anaugua ugonjwa sugu wa mshipa, Ikulu ya Marekani ilitangaza siku ya Alhamisi, baada ya siku kadhaa za uvumi kuhusu picha zinazoonyesha michubuko kwenye mkono wa rais huyo wa...
1 Reactions
2 Replies
380 Views
Kwa mambo yanayoendelea Kuna uwezekano kuna sheria zinatungwa serikali kujimilikisha account za viongozi na social influencers, maana yake hata kama account ni yako binafsi, as long as we ni...
1 Reactions
3 Replies
293 Views
Wahenga siasani hamuoni kana kwamba ile Ligi bado inaendelea lakini kwa viwango vya juu kabisa Wengi tulidhani mkwamo wa Katiba mpya ndio mwisho wa baba Kipi lakini Wananchi kadhaa bado...
1 Reactions
3 Replies
217 Views
Shekh Mwaipopo anasema Askofu Gwajima ndio anaeandaliwa na CHADEMA kugombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu 2025 utakaofanyika Oktoba Gwajima huyu anaunga mkono No reforms No Election, lakini habari...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Maria nakupongea kwa unachokifanya. Kazi yenye baraka za Mungu. HAKI NA DEMOKRASIA My concern is: Wachangiaji wawe objective should not be influenced by personal feelings or opinions in...
0 Reactions
14 Replies
500 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Wanabodi, Declaration of Interest, japo mimi Paskali, ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini hoja zangu zote hutanguliza mbele maslahi ya taifa kwa kuzitoa truthfully, with objectivity...
23 Reactions
194 Replies
27K Views
Jana ndio rasmi ilikuwa Siku ya ushuhuda wa Chadema kuachwa kama Chama Huru na halisi cha Upinzani Kwa kawaida katika Ulimwengu wa roho mwaka wa 33 huwa ndio mwaka wa ukombozi Kwa maana hiyo...
11 Reactions
14 Replies
663 Views
Hamna Jipya chini ya Jua. Ila safari hiii Utekaji umefanywa dhidi ya MTU ambaye ni Mzalendo kwelikweli. Hivi Polepole Kwa namna alivyo Mzalendo, ni wa kumtekea Familia yake???.
0 Reactions
2 Replies
527 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…