Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita. Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili...
12 Reactions
69 Replies
3K Views
Aliyekuwa mbunge wa Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, Priscus Tarimo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo hilo. Tarimo amechukua fomu hiyo leo Jumapili Juni 29,2025...
1 Reactions
10 Replies
856 Views
Wajumbe wa kamati ya fedha na uongozi na menejimenti ya manispaa ya moshi ikiongozwa na mkurugenzi wa manispaa Bi. Mwajuma Nasombe Leo wametembelea miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na ilani ya...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Moshi mjiniTunahitaji Kiongozi wa Kweli, Sio Mtumwa wa Makundi! Katika kipindi hiki muhimu cha siasa, Moshi inahitaji Mbunge mwenye uzoefu, uwezo wa kiuongozi, rekodi ya utendaji uliothibitishwa...
0 Reactions
3 Replies
319 Views
Akiongea kupitia Facebook, Humphrey Polepole amesema "Hata wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi wa 2020 kuna watu huko kwenye majimbo yao walianza kutaka baadhi ya majimbo fomu iwe moja lakini...
4 Reactions
8 Replies
680 Views
Wandugu, tuna mshukuru sana ndugu Slowslow kwa kutuonyesha yalioko ndani ya chama chakavu na kutuonyesha ni kwa jinsi gani mambo yale yenye tija kwa wananchi yanavyoendeshwa kihuni Kumbe ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
224 Views
Akiongea kupitia Facebook, Humphrey Polepole amedai kuwa Kwenye Chama cha mapinduzi kuna desturi hazijaandikwa lakini hazijawahi kuvunjwa ila Rais Samia kazivunja
1 Reactions
2 Replies
273 Views
"Unajua wakati mwingine lazima tubomoe ili tujenge mimi mkristo kuna mstari unasema wakati mwingine inabidi tubomoe ili tujenge. Huu mchakato wa kupata wagombe kwa kweli tumeukosea" Humphrey Polepole
2 Reactions
8 Replies
3K Views
"Na hii lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, sio kipindi hiki, hata kipindi cha Magufuli kuna baadhi ya viongozi walikuwa wanasema mgombea ni mmoja, siyo kweli na kwenye kauli rasmi ambayo...
3 Reactions
2 Replies
584 Views
Humprey Polepole amesema Amani ni tunda la haki, na haipendezi chama chake cha CCM kutokuzingatia haki za watu, badala yake kinazungumzia amani pekee. Amewaasa kurejea kwenye misingi ya chama...
4 Reactions
3 Replies
388 Views
Hivi Polepole ana taarifa au siri gani za maovu ya watawala zinazowatetemesha kufikia hatua ya kuzima mawasiliana nchi nzima
5 Reactions
18 Replies
2K Views
"Siku inakuja, mtakipata cha mtemakuni na tunawafahamu, unajua wakati mwingine nyie ndio mnalazimishaga mambo tuje tuseme hapana sio tu watendaji, ninyi viongozi kwa matendo mliyofanya na ninyi...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakati akizungumza leo Julai 18, 2025 Polepole ameeleza kuwa mchakato wa kumpitisha mgombea uliofanyika Februari haukuwa sawa. "Mchakato wa uchaguzi unafahamika, tunatangaza ratiba. Tukitangaza...
16 Reactions
36 Replies
3K Views
Mtia nia ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kinondoni, Joseph Boniface Mhonda, ametoa wito kwa wanachama na wagombea wenzake wa CCM kuwa watulivu na kuheshimu taratibu za...
0 Reactions
2 Replies
280 Views
Akijibu swali kuhusu kesi ya Lissu, Polepole amesema sheria zinambana hawezi kuzungumzia hiyo kesi sababu ipo mahakamani Ameongeza kuwa, 2015 nilikemea kauli mbili nikasema kauli hizi si za...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuna jambo ambalo watu wengi hawaelewi vizuri — kwamba dhana ya Awamu katika tafsiri ya kisiasa inahusiana moja kwa moja na mtu binafsi, yaani Rais aliyepo madarakani katika kipindi husika. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
543 Views
Katika vichochoro visivyo na jina, vipo vikao vinavyofanyika kimyakimya. Wenyeji wa meza hizi ni watu wanaojiona werevu wa kupanga mikakati ya “kuvunja ukimya” kupitia vitandao. Lengo? Kuishtukiza...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Rose Kahoji amekuwa mwanamke wa tatu nchini kutangaza nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
2 Reactions
11 Replies
437 Views
Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Rose Kahoji amekuwa mwanamke wa tatu nchini kutangaza nia ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Kwa hatua hiyo, Kahoji anaungana na...
1 Reactions
3 Replies
310 Views
Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama...
11 Reactions
88 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…