KATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.
Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya...
Mamlaka hutoka kwa Mungu hayaji kiutaniutani tu.
Sio wote tunaweza kuwa marais au mawaziri au viongozi.
Hii ni karama yenye utukufu na kamwe haiwezi kubezwa tu.
Ni kweli ipo mifano toka karne...
Kutoka enzi na enzi Mamlaka zipo na zina nguvu isiyo kifani.
Huwezi na kamwe haitatokea wala kukubalika eti upambane na mamlaka halafu uwe mshindi.
Hilo haliwezekani kamwe.
Bwana wetu Yesu...
Chama cha Ukombozi wa Umma kimefanya Uzinduzi wa ofisi ya chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro leo Julai 19,2025 na kuhudhuriwa na wafuasa mbalimbali wa chama hicho.
Sambamba na uzinduzi huo pia Chama...
Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake.
1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World...
Tusemeni ukweli nchi gani utapata plot bleach ukiwa kijana zaidi ya Tanzania hii ndo nchi ya Kula Wazee tuire kweri Maisha mbona yanaenda wakuu nyie mna shida gani?mna njaa? pombe...
Mamlaka nchini Nigeria zimesema wanamgambo wa Boko Haram wamewaua watu 9 na kuwajeruhi wengine 4 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.Mamlaka nchini Nigeria zimesema wanamgambo wa Boko Haram wamewaua...
Takriban watu watatu wameuawa na wengine kumi na wanne wamejeruhiwa leo Ijumaa hii, Juni 27, katika shambulio la anga la Urusi kwenye mji wa Samar, katika mkoa wa Dnipropetrovsk -...
Eti changamoto hizi zilikuwepo tokea enzi za hayati JPM ! Mbona hamkuibuka hadharani na kupinga ubadhirifu, ufisadi na maonevu kama Polepole?
Mbona hayati alikubalika kwa wananchi wanyonge kuliko...
Tangu Muungano uanze, Zanzibar ilitoa Rais mmoja tu, Mzee Mwinyi, upande wa pili umetoa marais wanne, kwa Zanzibar, Samia ni wa pili, ni busara ya kawaida kumpa nafasi na kuipa nafasi Zanzibar...
Yuko Wapi Luhaga Mpina ambaye ametambulishwa kama Mbunge wa Taifa, sijamsikia siku nyingi je amechukua fomu au na yeye ameacha kuchukua fomu kama Gwajima na Majaliwa?
Hiki chama kina lundo la watu maslahi ambao kichwani ni weupe kabisa na wakiwa na maslahi yao fiche huwapamba hawa watu kwa nguvu zao zote ili kuwaingiza madarakani kwa manufaa ya kikundi cha...
Aliyekuwa Katibu wa Mkoa wa Kagera wa Chama cha ACT-Wazalendo, Linus Maeje (Meja) amejiondoa kwenye chama hicho na kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) leo Jumamosi Julai 19 2025...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Na Aliyekuwa (Mbunge Ukonga) Jerry Silaa akizungumza Na Wananchi Wa Kitunda Jimbo La Ukonga Katika Eneo Ambalo Atakabidhiwa Mkandarasi Barabara Ya...
TAL anatetea maslahi ya Tanganyika.
Ameanza hizo harakati tangu enzi za mzee Benjamin Mkapa mpaka sasa.
Sukuma gang wanatetea maslahi yao na matumbo yao
Sukuma gang sio kabila bali wafuasi wote...
Wanaharakati Hawa walifika Tanzania ili kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiwa inatajwa au kusomwa mahakamani. Hawakufanikiwa kufika mahakamani ila walikamatwa na watu wenye kusadikika ni...
UTANGULIZI;
Hii Wilaya hapo zamani hakuni siku ilipita bila wakulima na Wafugaji kuchomana mikuki na kukatana mapanga,
Ukweli usemwe tangu kiongozi huyu akabidhiwe Wilaya hii mambo ni shwari...