Nina Wasiwasi sana Sababu za Kisiasa Dhidi ya KANISA ndio zinaweza kua Nyuma ya TCU kufuta baadhi ya KOZI chuo Kikuu cha SAUT !.
Kwa sababu hizohizo KOZI bado zinaendelea kutolewa kwenye Vyuo...
Anaandika Askofu Benson Bagonza wa KKKT Karagwe, kwenye ukurasa wake wa Facebook.
====
FUNGA MDOMO, KALAMU, ROHO… halafu?
Leo tumeamka na taarifa za kufungiwa kwa baadhi ya waandishi wa habari...
Julai 13, 2025 aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchni Cuba, Humphrey Polepole alitangaa kujiuzulu nafasi hiyo na nafasi nyingine za utumishi umma Jumapili akitaja sababu kadhaa za kufikia uamuzi huo...
WanaJF,
Tunavyoelekea uchaguzi mkuu hebu tujadiliane kwa nini Tanzania hatuna maendeleo.
Hayati baba wa Taifa alisema kuwa ili nchi iendelee inahitani vitu vifuatavyo;
Ardhi
Watu
Siasa safi...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakuna kitu wapinzani kinawapa homa na kutetemeka miili yao utafikiri sumaku kama wakifikiria kukutana na Rais Samia katika sanduku la kura. Wanamuogopa Sana Rais Samia...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Kazem Gharibabadi, amesema kuwa, ujumbe wa masuala ya kiufundi kutoka Shirika la Nishati ya Atomiki (IAEA) hivi karibuni watazuru Tehran, lakini hawataruhusiwa...
Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima.
1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni...
Katika siasa, kuna nafasi ya mjadala. Kuna nafasi ya upinzani wa hoja. Na kuna nafasi pia ya kuchochea taharuki isiyo na majibu jambo ambalo linaweza kugharimu maisha ya watu wasiokuwa na hatia...
Baba yetu alishatangulia mbele za haki. Baba wadogo walishafariki pia. Amebaki mama na baba mdogo.
Sasa baba mdogo badala ya kuwa mshauri mkuu kuhakikisha familia inabaki salama yeye anamsaidia...
Kiongozi yeyote anayedogosha msahafu wa kazi yake ya uongozi, anaibua maswali mazito sana.
Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake...
Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo...
Aweso Tangu msifiane pale Dawasa sasa hivi maji yanatoka kama hozi la kenge yaani maji hakuna kabisa zaidi ya wiki sasa mnafungulia maji dk 15 kisha mnakata , hivi hii nchi tuna LAANA gani ...
Ni angalizo tu kwa Wapiga Kura kwamba unapochagua Rais unachagua na makamu wa Rais
Kuna Watu wanadhani Kura ni za Rais peke yake , la hasha
Ahsanteni sana 🇹🇿🙏
Tanzania Imeendelea Kuongoza Juhudi za Kudumisha Amani, Usalama na Ushirikiano wa kisiasa SADC- Balozi Kombo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit...
Moja kwa moja nijikite kwenye mada:
Sarakasi ya kumpata mgombea wa CCM ilikuwa ni muendelezo wa yale wanayoyafanya kumpata rais wa nchi.
Kwa kuwa Mungu wa mbinguni atoaye mamlaka kwa mtu...
Viapo vya viongozi vina maeneo 4 muhimu
1. Kuilinda Katiba
2. Kuitumikia Katiba
3. Kumtii Rais wa JMT
4. Kuitii Serikali ya JMT
Na kila Kiongozi anakuwa na kipaumbele kimoja au viwili...
Sijaona sababu za msingi za kuuwa mtu kwasababu za kimadaraka, kwani sioni raha ya kuwa na madaraka kwa kupitia umwagaji damu tena sisi kwa sisi kila uchwao.
Niseme hakuna raha yoyote ya madaraka...