Moja kwa moja nijikite kwenye mada:
Sarakasi ya kumpata mgombea wa CCM ilikuwa ni muendelezo wa yale wanayoyafanya kumpata rais wa nchi.
Kwa kuwa Mungu wa mbinguni atoaye mamlaka kwa mtu...
Viapo vya viongozi vina maeneo 4 muhimu
1. Kuilinda Katiba
2. Kuitumikia Katiba
3. Kumtii Rais wa JMT
4. Kuitii Serikali ya JMT
Na kila Kiongozi anakuwa na kipaumbele kimoja au viwili...
Sijaona sababu za msingi za kuuwa mtu kwasababu za kimadaraka, kwani sioni raha ya kuwa na madaraka kwa kupitia umwagaji damu tena sisi kwa sisi kila uchwao.
Niseme hakuna raha yoyote ya madaraka...
Mchakato wa ndani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kuchagua mgombea wa kiti cha Urais wa JMT
Mchakato wa kumpata mgombea u - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndani ya CCM unafuata utaratibu...
Ndugu Msajili na Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi
Awali ya yote nawasalimia, na nawatakia majukumu mema ya kazi zenu.
Nimechukua fursa hii kuwaandikia barua, kama raia, mzalendo, na mdau...
Kweli tumefika pabaya! Tumepunguzwa hadhi mpaka kura yetu imegeuzwa kuwa kama ritual tu ya kufurahisha watawala, bila thamani ya kweli. Wananchi tumeonekana wajinga, tumetupwa pembeni kana kwamba...
WANANCHI WA KATA YA MAWENZI WAAMKA:
WAMCHOSWA NA DIWANI ALIYEKAA MADARAKANI ZAIDI YA MIAKA 15 BILA MAFANIKIO
Moshi, Tanzania – Katika kile kinachoonekana kuwa mwamko mpya wa kisiasa miongoni mwa...
Salaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asanteni
Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi...
Tunako katabia kidogo Watanzania, nadhani kitaifa, 'uwoga' wa kutoa mawazo tofauti, na nadhani nayo ni kasoro, katika demokrasia kila mtu lazima asikilizwe hata kama hukubaliani naye, na...
Badala ya kuongelea mabadiliko ya katiba kuongelea tamaduni ambazo ndizo zimeleta umasikini
Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini mkubwa nchini. Watanzania wanataka maendeleo na...
EDIT: Sio waziri tu, ni viongozi wakiwemo mawaziri, maspika, wakuu wa mikoa, wabunge, n.k.
Kujua matatizo ya wananchi kwa ukaribu ni msingi wa utatuzi wa kweli. Ni muhimu kwa viongozi kuwa...
Wakubwa hadi wababa wazima unakuta wao ni mama, mama hata sisi tuna mama tuacheni kuleta umama kwenye mambo nyeti ya taifa tena ya msingi kweli kweli hizi ni akili za wapi ?
Mbona samia alipokuwa...
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu !!! Ccm kuwatapeli vyama vingine huwa wanaona raha lkn Samia kawatapeli sasa wanahaha mpaka wanatamani kutoana roho.
Haya machungu ya kina Polepole...