Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yaani Rais Mwenyekiti CCM Taifa, aliyevurunda, anaamua kubadilisha vifungu vya Katiba viendane naye, Huu sindo Udikteta?. Kikao gani Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, au Kikao Cha Halmashauri...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Kabla hajatubu, Mwenyekiti aliyejipitisha anakimbilia kubadilisha katiba ya chama. Hakuna cha kumfanya. Ndani ya hichi chama kuna usemi wa,'acha waseme na usiku watalala ' Kweli anawachezesha...
0 Reactions
1 Replies
358 Views
Na. Manase Visulo Nikiri kwamba taarifa za kujiuzulu kwa Balozi wetu nchini Cuba, Balozi Polepole sio jambo lililotarajiwa wala kufikiriwa na tulio wengi. Nikwasababu hiyo naomba kuteta nanyi...
5 Reactions
101 Replies
6K Views
WAZIRI KOMBO APONGEZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA JPC RWANDA, AHIMIZA KUCHANGAMKIA FURSA ZA USHIRIKIANO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud...
0 Reactions
1 Replies
254 Views
Yanayoendelea CCM yalifanywa na Ndugu Lyatonga Mrema matokeo yake tuliipata TLP. Hatari ya kukimbilia kwenye mkutano mkuu kwenye agenda kubwa na za msingi ni kugawa Chama Je CCM wanaweza kuwa KANU?
1 Reactions
1 Replies
384 Views
|| Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa...
18 Reactions
237 Replies
22K Views
Kuna justification gani ya kutumia dokezo kumpitisha mgombea wakati miongozo ipo wazi? Yeyote anaye pinga ule uhaini wa dokezo ni mzalendo and genuine soul bila ya kujali past behavior. The...
41 Reactions
66 Replies
4K Views
Uchaguzi mkuu ni mchakato nyeti wa kisheria. Ndiyo maana hata huko juu kwenye ngazi za makamishina wa Tume ya uchaguzi unaongozwa na majaji waandamizi. Mtiririko huo ungaliteremka hadi kwenye...
0 Reactions
13 Replies
661 Views
Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA. Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Wajuzi wa mambo naomba mnieleweshe hivi kwanini Jenerali Ulimwengu alizinguana na Benjamin Mkapa? Wakati kati ya watu ambao walimshawishi Benjamin Mkapa kugombea urais ni pamoja na Jenerali...
1 Reactions
6 Replies
742 Views
Maendeleo ya teknolojia CCM hatujaachwa nyuma. Kazi na Utu. Tunasonga mbele. Tunatiki tu
0 Reactions
4 Replies
304 Views
Kumekuwa na mambo mkubwa sana wa makada kujitokeza kuchukua fomu leo, nna wasiwasi sana wajumbe wa kamati za siasa za kata na wilaya huenda zikafanya upendeleo kwa wajumbe kwa kuwapa maksi wale...
0 Reactions
2 Replies
453 Views
Mchujo wa majina ya wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) unaendelea kote nchini. Taarifa zinaeleza kuwa huenda majina matatu ya wagombea yakaanza...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kauli hizi zimetawala Tanzania nima. Jina la huyu lisiporudi mimi nitakuwa upande wa fulani. Jina la huyu lisiporudi mimi sipigi kura. Jina langu lisiporudi mimi ninazila. Mpasuko mkubwa sana...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hakuna aliyetegemea Wabunge wakiongozwa na Spika akisaidiwa na Peter Serukamba wakambembeleza sana lakini akawagomea Rekodi ile haijavunjwa, Prof Lipumba alijaribu pale CUF lakini akatengua...
2 Reactions
10 Replies
377 Views
Sikiliza Huu ujumbe kwa Nchi https://youtu.be/qQHFX3DBj-k?si=4YEiO6KBXBJgn-0O
1 Reactions
4 Replies
493 Views
Wapo wanaoikosoa CCM kwa kile kinachoonekana kuwa ni "uteuzi usio wa kidemokrasia" wa mgombea urais kwa 2025. Lakini swali la msingi ni: Huu ni upendeleo au ni utaratibu wa muda mrefu ndani ya...
1 Reactions
6 Replies
473 Views
Wanakana hawajafunfa tweeter, ngoja tuone kama kesho tutaipata bila VPN! Proof ni moja: Ikipatikana bila VPN ujue walikuwa wameifunga
1 Reactions
2 Replies
477 Views
Kadri kero za huu Muungano wetu zinavyozidi kutatuliwa ndivyo upande mmoja wa Muungano Zanzibar inajitenga zaidi na mamlaka zinaruhusu hiyo hali. Angalia mfano wa hivi vitu walivyojitenga 1...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
RAIS SAMIA AWABEBA WACHIMBAJI WADOGO KWA KUFUTA LESENI KUBWA 2,600, MAPATO YAO YAONGEZEKA MARA5! Wakati Rais Samia anaingia madarakani wachimbaji wadogo walichangia 20% sawa na TZS 124bn kwenye...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…