Leo nimeingia center hapa Mvuti nashangaa bodaboda karibu wote wako na barakoa zenye picha na maandishi ya mi 5 TENA.
Mmewatengeneza wajinga na wapumbavu na sasa wanaogelea kwenye bwawa la...
Tutampopoa Makamba mpaka akome
Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge
Mimi nasema Baba levo ni...
Mwaka huu hakuna uchaguzi ni uhuni uhuni tu, suala la jana kuto kutoa majina ni ushahidi mwengine kuwa kuna wahuni wanabaka demokrasia ya nchi.
Hawa wahuni na mbumbumbu wanafikiri kujifanya...
Naandika kwa mshangao, kwa masikitiko, na kwa hasira pia.
Yaani wananchi wa Dar es Salaam wanateseka kila siku na huduma ya mwendo kasi, lakini bado baadhi yao wanatetea na kuahidi kupigia kura...
Kila nikimkumbuka Naibu Waziri mteule kutoka Kilwa alivyoshindwa kusoma kiapo mbele ya Shujaa Magufuli nalazimika kuamini hii nchi ina uchawi sana uliotukuka
Nimshauri tu Komredi Makala atoe...
Tangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo...
1. Kusubiri kuona CCM ikipaduka vipandevipande baada ya fitina na kuengukiwa kwa vigogo
2. Kuonesha wanaoitwa Chawa namna wanafanywa na wajumbe?
3. Kuonesha picha ya namna Bunge lao endapo...
Pengine baada ya mkeka huu wa leo, utafungua mengi sana tuliyokuwa hatuyajui katika ulingo wa siasa za chama kikongwe,
Tuwe na staha katika kuwasema waliokatwa, kwenye siasa chochote kinaweza...
Rais samia amefanya mengi yakukumbukwa, kama mkuu wa nchi lakini pia kama mwenyekiti wa ccm.
Jambo kubwa sana ndani ya chama, ni kusimamia mabadiliko ya katiba ya ccm kupanua wigo wa demokrasia...
Sasa ndio naelewa kuwa uongozi wa hivi sasa ni kama nyumba isiyo na mwenyewe, mke wa rais mstaafu kuwania ubunge kunatupa picha mbaya.
Tanzania ni nchi ya kwanza kuona mke wa rais mstaafu kuwania...
Waliokuwa wanachama wa CHADEMA na kisha kuhamia CCM Esther Bulaya na Esther ni miongoni mwa wagombea Ubunge kwenye mchujo wa kwanza Kupitia Chama cha Mapinduzi baada ya kutangazwa leo na CPA...
Mabadiliko ya katiba ya ccm yaliyoridhiwa na kuidhinishwa mkutano mkuu wa ccm taifa kidigitali jana, yamechochewa kwa kiasi kikubwa na maoni ya wana CCM wenyewe, kwa kuongezwa wigo zaidi kwa watia...
Pia soma - Dar es Salaam: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MAJIMBO YA MKOA WA DAR ES SALAAM
(i) Jimbo la Ilala
(1) Ndugu Mussa Azzan ZUNGU
(2) Ndugu Grace Traseas BUBERWA
(3) Ndugu...
Pia soma - Morogoro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MAJIMBO YA MKOA WA MOROGORO
(i) Jimbo la Kilombero
(1) Ndugu Abubakar Damiani ASENGA
(2) Ndugu Abdulla Zuru LYANA
(3) Ndugu...
Pia soma - Pre GE2025 - Lindi: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MAJIMBO YA MKOA WA LINDI
(i) Jimbo la Lindi
(1) Ndugu Hamida Mohamed ABDALLAH
(2) Ndugu Mohamed Mussa UTALY
(3)...
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Salum Mwalimu ametangaza rasmi mwisho wa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi za Ubunge, Viti Maaalum na Udiwani kupitia chama hicho ni Agosti...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha mfanyabiasha maarufu Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni mjini.
Salum atachuana na wagombea wengine watano.
Katibu wa Itikadi na...
Nimeona majina ya wabunge wa viti maalum wa CCM waliokaa zaidi ya miaka 10.
Sasa nashangaa lile azimio lao vipi kuwa viti Maalum mwisho miaka 10?
Soma pia; Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala...
Yaani aliyeingia tano Bora na aliyemfanya Mzee Magufuli kuhaha leo.hii ni useless hata ubunge hafai
Byebye January Makamba wakati wako wa kuchunga kama Mzee Makamba
Au kutunga riwaya maana najua...