Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini ndg Mrisho Gambo yuko katika hatua za mwishomwisho za kuteuliwa, kuapishwa na kupelekwa Havanna Cuba kuiwakilisha nchi katika uga wa kidiplomasia kama balozi...
Ndoshi, alena kishimbhe, alena thuja
Kila kona wamefurahi kuanzia stendi ya zamani mpaka vijijini huko Bukamila Ilemela na kwingine kote.
Alipokuwa katibu wizara ya Fedha alidharau sana watu...
Zimeimarika sana na kua za kistaarabu.
Hakuna tena uropokaji unakiuka sheria, hakuna tena mikutano ya hadhara ya fujo na matusi, hakuna tena mfululizo wa mikutano ya kamati kuu Chadema na press...
Jambo la Kushangaza, Hii familia nao wanafurahia tuu, hivi hata Ridhiwani alishindwa kumshauri Mzee Kikwete, Mzee chomekea majina walau Manne, ila tumalizane na Wajumbe ?.
Kwamba ukiwa...
Pamoja na hali mbaya tunayopitia kisiasa, Ntaendelea kusema kwamba heri nusu shari kuliko shari kamili.
Imagine Remote ingeshikwa na Msukuma, Mnyakyusa, Mchaga au Mhaya, Pangetosha ?
Imagine...
Walidhani kwa kumfungia Tundu Lissu ndani mambo ndio yatakuwa mepesi, kumbe sasa ukuta mzima umepasuka ni afadhali yangekuwa ya mlango tu.
Jinsi siku zinavyokwenda ndio CCM inavyozidi kupoteza...
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemtaka Mbunge wao, January Makamba kujiuzulu nafasi hiyo kwani ameshindwa kutekeleza aliyowaahidi wakati wa kampeni.
Wamesema, Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
Kama ulipata kazi na hukufanya kazi uliyotakiwa kufanya waliokuajiri wanakuja na msimamo wao.
Mungu Ibariki Tanzania
----
Bumbuli Wamtaka January Makamba Ajiuzulu Ubunge, Wadai Hana Tija kwa...
Yani watoto pendwa wa mama wote wana wapinzani.
Iweje familia ya mzee Kikwete isiwe na upinzani.
Kwamba huko Mchinga na Chalinze hakuna wana CCM waliotia nia kabisa kuyahitaji hayo majimbo?
Huenda mmeshajua kuwa sehemu kubwa ya Wananchi wana upeo mdogo wa ufahamu kuweza kufikiri na kutambua kuwa mnawapotosha kwa manufaa yenu kulingana na ukosefu wa elimu au kuw na elimu duni...
1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama...
MAMBO 20 USIYOYAJUA JUU YA MAGUFULI
1. Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 kwa mwaka jana katika nchi mbali mbali dunian
2. Magufuli Ana uwezo wa kukariri namba 22, kwa wakati mmoja, craming...
TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza...
Joseph Gwajima
Luhanga Mpina
Hersi Said
Arafat Haji
Byabato
Mpango
Majaliwa
Polepole
Lissu
Heche
Butiku
Warioba
Na wengine kibao ambao wanampa challenge hataki kufanya nao kazi why?
Huyu mama...
Naona mshikamano ni mkubwa sana kwa wanaChadema kwa sasa. pamoja na mizengwe ya utawala wa CCM
Mimi mwenyewe nashangaa huu mshikamano unatoka wapi.
Kesi za kubambikiwa na kuzuiwa kufanya...
Hii itakuwa wiki ya moto sana kwa wanasiasa na siasa kwa ujumla.
Kuanzia chama tawala mpaka upinzani.
Kuna matukio ya kisiasa yatatokea ndani ya wiki hiyo kuanzia kesho jumatatu tarehe...
Mwanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Muinja Maingu, amesema ameridhishwa na mchakato wa uteuzi uliofanywa na chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, akibainisha kuwa...