Tanzania na Qatar kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati
Tanzania na Qatar zinakusudia kuimarisha ushirikiano katika maeneo muhimu, ili kukuza biashara na uwekezaji kwa misingi ya...
Mwabukusi na WENZAKO wote nyie ni vihiyo haiwezekani mnajua Lissu sio muhaini nyie mmekaa TU mmeshindwa hata kuandaa maandamano ya kushikiza aachiwe
Hivi Jana mliona alivyosukumwa kama kondom...
Wagombea wawili Kati ya wagombea 9 wameibuka Vinara Katika Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Mkoa wa Morogoro Uliolenga kuwapata wawakilishi wanawake kutoka mkoani humo...
Walio tajwa na Lissu Jana yakuwa wako ukonga wameukumiwa kunyongwa ndio wakina Soka,kipanya na wenzake paspo kumsaau mdude nyangali
Najiuliza wanafanya hivyo mnapata Nini mbele za Mungu Muumba...
Ndoto za waliokuwa wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Catherine Magige na Zaytun Swai, kurejea bungeni zimeingia doa baada ya kushindwa kushawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha...
Felix Mrema na Mrisho Gambo ni wabunge walioacha alama kubwa sana "Arusha mjini" ambazo haziwezi kufutika kirahisi vichwani mwao (hasa kwa watumishi wa umma)
Nina Imani kubwa sana na ajaye...
Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba mmoja kati ya wabunge 19 wa Viti Maalumu CHADEMA amekataa msimamo wa Chama kuzuia Uchaguzi huku akisisitiza kuwaunga mkono kundi la G55 ndani ya Chama hicho.
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kuota ndoto nzuri na yenye matumaini kwa WATANGANYIKA baada ya kuota Lissu anatoka gerezani na kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa TANZANIA na Mhe...
Bilonea namba moja duniani na raia wa marekani mzaliwa wa afrika elon musk ameonekana katika kuishabikia russia katika majibizano yanayoendelea huko mtandaoni kwake wa x zaman ukijulikana kama...
Ndugu zangu watanzania ukweli Leo nimebubujikwa na machozi mengi ya furaha baada ya kuona Wana JamiiForums wenzaungu wamenisamehe na kuniona mi ni mwenzao na ukweli nimetubu dhambi zangu mana...
https://www.youtube.com/watch?v=wwLxEK9CEnE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Usafirishaji wa Mizigo kwa SGR Kwala Pwani, leo tarehe 31 Julai, 2025...
Trump ansema itakua vigumu kufanya makubaliano ya kibiashara na na canada baada ya waziri Mkuu wa canada kusema Mark Carney anapanga kulitambua taifa la Palestin ifikapo September
Watu wasiojulikana wamemuua Mkazi wa Mtaa wa Lwelyangula kata ya Kitangiri mkoani Shinyanga Malini Kilucha (37) ambaye ni Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza kwa kumfunga mdomo na pua kwa...
Mbunge viti maalum Arusha Catherine Magige amvaa kwa matusi mbunge mwenzake.
Amemshambulia kwa matusi mbunge Mpina utadhani wapo vyama tofauti.
Hii ni dalili tosha kuwa CCM sasa hivi kuna moto...
Siasa ni sayansi
Hata Nelson Mandela viatu vyake vilibakia kwa mama Swai kule Moshi na baadae akawa Rais wa SA
Kabila alishushwa na kondakta mbugani Mikumi kwa kupungukiwa nauli baadae akawa...
Hivi mnajua Zanzibar afya ni bure? Lakini bara mtu akifa muhimbili maiti yake Kama inadaiwa inakamatwa?
Hivi mnajua Zanzibar chuo kikuu hakuna watu wanakosa mkopo?
Hivi mnajua Mzanzibar anaweza...
Mlishawahi baini wahamiaji haramu wakitaka kujihusisha na uchaguzi au amsuala ya kiasisa kiujumla mnafanyaje kwenye hili??
Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi, akifanya...
Kule Ununio kuna Bunge St ambako ni mtaa wanaishi wabunge wastaafu Kimiti, Foya na mama Massawe
Ila ya Mbweni ni Funga kazi mageti yamefungwa wakazi wamerudi makwao kuusaka Ubunge
Ahsanteni sana 😄
Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao...
Mwaka wa uchaguzi. Mada za kifalsafa za uchaguzi.
Watanzania wengi wamekuwa wakilitaja suala la kigezo cha elimu cha kugombea ubunge kuwa kujua kusoma na kuandika kama tatizo.
Mantiki yao ikiwa...