Luguba na Kombani wang'ara kwenye Uchaguzi UWT Morogoro

Luguba na Kombani wang'ara kwenye Uchaguzi UWT Morogoro

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,163
Reaction score
3,722
Wagombea wawili Kati ya wagombea 9 wameibuka Vinara Katika Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Mkoa wa Morogoro Uliolenga kuwapata wawakilishi wanawake kutoka mkoani humo watakaoshiriki katika hatua ya kitaifa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Soma pia: Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Utekelezaji wa ahadi, Uzinduzi wa Miradi na utatuzi wa ghafla wa kero za wananchi


Katika zoezi hilo lililosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima amesema jumla ya kura 1653 zimepigwa na wajumbe ambapo Lucy Kombani ameibuka mshindi kwa kuongoza kwa kura 1314 huku mshindi wa pili Sheila Lukuba akiwa na kura 597

Uteuzi huu wa awali ni sehemu muhimu ya maandalizi ya kuwapata wabunge wanawake wa viti maalum kupitia CCM


​
Source: Jambo TV
 
Back
Top Bottom